nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,034
- 2,945
Hakuna kitu mkoa mzima watu laki nane tu. Huko uswekeni tu.Ukiangalia hii idadi ya Magorofa ukalinganisha ukongwe na ukubwa wa mkoa kijiografia utagundua kuwa Njombe inapiga maendeleo kwa Kasi sana.Kwenye mikoa mikongwe Magorofa mengine ni ya NHC yaliyojengwa miaka Mingi sana kwenywe makao makuu ya mikoa.Njombe ndio mkoa wenye eneo dogo kabisa Tanzania ukiondoa mikoa ya Zanzibar lakini Ina Magorofa mengi kwa uwiano wa idadi ya makazi na Magorofa karibia asilimia ishirini yapo vijijini.We are in the right direction.