Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mambo kwa ground nimeshaweka,last week contractors walikuja kufanya site visit..

Mwezi March kazi zinaanza..render ndio zimeshatoka hivyo.
Acha pupa mkuu hapo hakuna flyover utakayokuja kuiona labda kama ni daraja la kuvusha wakulima wa mpunga kutoka uyole.
 
Acha pupa mkuu hapo hakuna flyover utakayokuja kuiona labda kama ni daraja la kuvusha wakulima wa mpunga kutoka uyole.
Daraja la kienyeji kama lile.la mabatini hutokuja kuliona kwenye TANZAM T1..

Hayi hujengwa kwenye barabara za kienyeji kama hizo za huko uswahilini Mwanza.
 
Attachments

  • Screenshot_20221022-070651.png
    Screenshot_20221022-070651.png
    158.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220918-105737.png
    Screenshot_20220918-105737.png
    190.8 KB · Views: 8
onyesha daraja lenu la kuvusha magunia ya viazi tuone.
Utaliona baada ya ujenzi kukamilika..

Kwa hiyo unabishana na VP au?

Madaraja ya hovyo kama hayo yenu yapo pale mbalizi na Uyole kwenye crossing za reli..

Ndio kusama Mbeya kuna under. Pass 2 Mwanza 0 😅😅
 
umekuja penyewe mbeya cbd ina ghorofa mbili tu including maranatha hosp😜😜😜😜😜
Sasa wewe kenge hakuna kitu unajua,Mbeya ina CBD 2,Mafiati-Mwanjelwa na City centre..

Kwa hiyo hizi ziko mbili si ndio? Ziko Mwanjelwa na bado counting zingine 👇
 
Attachments

  • IMG_20221016_112716_914.jpg
    IMG_20221016_112716_914.jpg
    1.2 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_070038_183.jpg
    IMG_20221016_070038_183.jpg
    1.4 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_065113_535.jpg
    IMG_20221016_065113_535.jpg
    1.2 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_065745_576.jpg
    IMG_20221016_065745_576.jpg
    931.1 KB · Views: 7
  • IMG_20221016_112515_853.jpg
    IMG_20221016_112515_853.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Eti wanataka kushindana na Mbeya kwenye Uchumi..

Ni suala la mda tuu GDP ya Mbeya kuwa second to Dar..

Mgodi wa Ngualla Rare Earth mbioni kujengwa,zaidi ya Bil.500 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221027-221351.png
    Screenshot_20221027-221351.png
    85.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221027-221535.png
    Screenshot_20221027-221535.png
    49.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221027-221431.png
    Screenshot_20221027-221431.png
    47.9 KB · Views: 8
Sasa wewe kenge hakuna kitu unajua,Mbeya ina CBD 2,Mafiati-Mwanjelwa na City centre..

Kwa hiyo hizi ziko mbili si ndio? Ziko Mwanjelwa na bado counting zingine 👇
we kimbulu kabisa tunaongelea cbd, naona unaokotozeza vijigorofa mpaka vya matakoni huko.
 
Eti wanataka kushindana na Mbeya kwenye Uchumi..

Ni suala la mda tuu GDP ya Mbeya kuwa second to Dar..

Mgodi wa Ngualla Rare Earth mbioni kujengwa,zaidi ya Bil.500 👇
na vipi kuhusu mgodi mkubwa sana wa nyanzaga, sengerema, Mwanza ukianza kufanya kazi hakika Mwanza itakuwa ya Kwanza kiuchumi mbele ya Dar.
 
😄😄 Wewe ndio kimba kabisa ,hizo unasosema naokoteza ziko CBD na Nimekwambia Mbeya ni kama.Dar ina CBD nzuri.
ukisema kijiji cha Mbeya kina CBD nne basi Mwanza itakuwa na Cbd sita na kwenye hizo cbd sita za mwanza cbd ya mbeya haiwezi kuzidi hizo ata miaka 10 ijayo.
 
na vipi kuhusu mgodi mkubwa sana wa nyanzaga, sengerema, Mwanza ukianza kufanya kazi hakika Mwanza itakuwa ya Kwanza kiuchumi mbele ya Dar.
Tayari umeshajengwa so upo kwenye GDP ya Sasa ya Mwanza ukianza uzalishaji utaongezea ila investment ya kwanza ndio huwa kubwa..

Hapo bado Mgodi wa Niobium
 
Sasa wewe kenge hakuna kitu unajua,Mbeya ina CBD 2,Mafiati-Mwanjelwa na City centre..

Kwa hiyo hizi ziko mbili si ndio? Ziko Mwanjelwa na bado counting zingine 👇
hizi picha ni gorofa moja alafu hii gorofa huku Mwanza ni kama nyumba tu ya mtu.
 
Back
Top Bottom