Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hujui kitu tuulize sisi tunaojua, Ipo proposal ya mkoa mpya wa Nyanza ambao utakuwa na Wilaya za Busega, Magu, Kwimba, Sengerema, Buchosa na Misungwi. Huku baadhi ya maeneo ya kata za Magu na Misungwi zikianzisha wilaya mpya ya Kisesa na kulifanya Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania (Mwanza ) kuwa na Wilaya tatu yaani Nyamagana, Ilemela na Kisesa. Wazo la Chato kuwa mkoa linakufa natural death.
Kijiografia huo mkoa wa nyanza hauwezi kuwepo, hayo maeneo uliyotaja yako kushoto kushoto sana, imagine utoke Magu kwenda Sengerema
 
Jamaa mwongo sana....hamna kitu kama hicho ...proposal zilizopo ni wilaya Mpya ya sumve ,buchosa na kisesa ....na kama kumegwa mkoa ,buchosa itaondoka kwanza .....kwanza logically
Mkoa wa nyanza makao makuu yake yatakuwa wapi. ?
pili ni sababu Gani ya msingi ya kuanzishwa huo mkoa ?
Tatu hamna reason ya msingi ya kuimega busega ikawe mkoa mmoja na wilaya ya misungwi Kwanza ni mbali mbali
Nne wilaya ya ukerewe itaenda mkoa Gani ? Maybe waihamishie mkoa wa Mara sasa (ni suala ambalo halina maana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi nyie Misukule wa Mwendazake huwana hamna emotional stabiliy na mnadanganywa kirahisi Sana ..

Kahama haiwezi kumegwa labda utamegwa wewe kama Hawa mama zako wanaomegwa na popo bawa huku
Popobawa hana mipaka, na lile baridi la Njombe lazima apite na opposite sex tu
 
Hii kitu itakuja kutokea miaka 500 ijayo sio sasa
Naomba uelewa kuwa mji ukishakuwa Jiji hauhitaji tena wilaya za vijijini ndio maana leo kuna mpango wa kuanzisha wilaya mpya ya kisesa jimbo la uchaguzi la Usagara ili maeneo yote yaliyopo wilaya za Misungwi na Magu ambayo yameungana na Jiji kuingizwa Jijini, halafu wewe unasema eti hata miaka 500 ijayo haiwezekani. Are you serious ? Unakumbuka ni kwa nini Dar iliondolewa mkoa wa Pwani mwaka 1974 ? Au ulikuwa hujazaliwa ? Subiri tu tuombe uzima utaona.
 
Huo Mwaka 1974 ata mama yangu hajazaliwa. Nachouliza kwa hiyo Jiji la Mwanza litakuwa limezungukwa na mkoa wa nyanza? Pili kwanini wanataka kufanya hivi? Tatu kuna umuhimu gani wa kufanya haya? Je unazani uchumi wa Mwanza utakuwa ni thabiti bila kutegemea hizo wilaya zitakazounda mkoa wa nyanza? Je stability ya uchumi kwa jiji la Mwanza utakuwepo?
 
Kumbe na wewe una assume ..sio lazima mkoa ukatwe kama ulivyopropose ..maybe waongeze halmashauri na majimbo ya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Mwaka 1974 ata mama yangu hajazaliwa. Nachouliza kwa hiyo Jiji la Mwanza litakuwa limezungukwa na mkoa wa nyanza? Pili kwanini wanataka kufanya hivi? Tatu kuna umuhimu gani wa kufanya haya? Je unazani uchumi wa Mwanza utakuwa ni thabiti bila kutegemea hizo wilaya zitakazounda mkoa wa nyanza? Je stability ya uchumi kwa jiji la Mwanza utakuwepo?
Kwanza elewa ,,kutoka magu Hadi town ni km 50 ,kutoka misungwi Hadi km 40 ,kutoka sengerema Hadi ni km 45 ,kutoka kwimba upande wa Jimbo la sumve ni km 45, kwimba upande wa ngudu ni km 70 ,,buchosa ni km 100 , ukerewe ni km 30 , ilemela ni km 15 ...wilaya zote isipokuwa buchosa ,na Jimbo la ngudu zinafika town within 50 km ....Kwa hyo hamna sababu ya kukatwa mkoa mwingine

Na Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo ukitoa eneo la ziwa na bado utake kuikata tena si itakuwa kama wilaya ya ifakara kwa ukubwa.
 
Mnapotoa takwimu mtoe Kwa ukamilifu ...mwanza ya kwanza Kwa ujenzi,ya pili Kwa Majengo
20221102_220921.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia Hana muda wa kupoteza kufanya hvyo ...angedili na tabora na morogoro Kwanza Inge make sense

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa asee Hii Mwanza yetu waiache tu asee, kwimba na magu ni kilimo cha pamba na mazao mengine ya biashara, misungwi kilimo cha chakula, sengerema ni dhahabu, uvuvi na kilimo, ukerewe uvuvi na kilimo cha matunda hizo wilaya zote zina potential kwa uchumi wa Mwanza.
 
Kwanza elewa ,,kutoka magu Hadi town ni km 50 ,kutoka misungwi Hadi km 40 ,kutoka sengerema Hadi ni km 45 ,kutoka kwimba upande wa Jimbo la sumve ni km 45, kwimba upande wa ngudu ni km 70 ,,buchosa ni km 100 , ukerewe ni km 30 , ilemela ni km 15 ...wilaya zote isipokuwa buchosa ,na Jimbo la ngudu zinafika town within 50 km ....Kwa hyo hamna sababu ya kukatwa mkoa mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli. Kutoka Magu mjini hadi jijini Mwanza ni km 64 na kutoka Ngudu mjini hadi Jijini Mwanza ni km 96. Aidha kutoka Sengrema hadi Mwanza kupitia Busisi ni km 64. Kutoka Sengerema kupitia Kamanga hadi Mwanza ni km 32.
 
Jaribu kufuatilia utapata ukweli
Nishafatilia na ukweli ni kwamba ... mipango iliyopo ni kuanzishwa Kwa wilaya ya kisesa ,mapendekezo ya RCC mkoa wa mwanza mwezi wa 5. 2021,ikapitishwa na baraza la madiwani la wilaya magu ,na baraza la madiwani wilaya ya misungwi,,Kisha baraza la madiwani la manispaa ya ilemela...
Mwezi wa 8 2021 madiwan wa buchosa walipendekeza kuhamishiwa mkoa wa geita ,kikaitishwa kikao Cha RCC.ikapendekezwa buchosa ipelekwe geita Kwa sharti la kisesa kuwa wilaya..
RCC geita wakati wanajadili kuundwa mkoa wa chato , walipendekeza buchosa ije geita ,na bukombe iende chato ...
.na Kuna proposal ya kuanzishwa wilaya ya sumve kama sio halmashauri...kutoka kwimba ...ambayo itahusisha kata za kanyerere, koromije (misungwi)bugomba , mantare,sumve, bungulwa,nyamatara,bukwimba ,na nyambiti ..

Hiyo taarifa ilikuwepo ila nakuambia kwamba hiyo sasa ni historia, hiyo mipango haipo tena. Hakuna cha Buchosa kwenda Geita. Hizi za mkoa wa Nyanza ni mwaka huu 2022 mwanzoni na chanzo hasa ni Busega hawataki kubaki Simiyu. Suala hili limekaa vizuri kabisa kilichosubiriwa ni sensa tu ikamilike. Ebu vuta subira ndugu utaona.
 
Back
Top Bottom