Wewe mara nyingi huwa nakwambia hunaga akili..
Sasa ukitoa Kahama ikawa Mkoa kwa Hiyo Shinyanga itakuwa nini sasa? Maana Wilaya zote za Za Mkoa wa Shinyanga ziko upande wa Kahama huko..
Kuongezeka kwa idadi ya watu sio kigezo cha kugawa Mkoa bali hadhi ya Mji kukua na kuongeza ngazi za chini kama Halmashauri mpya nk..
Ingekuwa hivyo basi kila Wilaya ya Dar ingekuwa Mkoa sasa..
Shinyanga itabakia hivyo hivyo hadhi ya Mji inaweza badilikuwa kuwa na Jiji au Halmashauri zingine..
Kigezo kikubwa cha kugawa Mkoa ni geografia ya eneo na nature of Terrain..
Ndio Maana Njombe ilimegwa kutoka Iringa kwa sababu kutoka Makambako kwenda Iringa Mjini ni zaidi ya km 100 hapo bado hujataja Njombe,Makete na Ludewa..
Hivyo hivyo Kwa Geita,Manyara na Katavi.Mfano kutoka Mpanda ambao ndio mkoa wa Katavi hadi Sumbawanga ni km 245.
Kwa muktadha huo basi Mikoa itakayogawanywa ni Tabara, Morogoro,Ruvuma na Lindi..
Chato haina vigezo bali ni upuuzi na ubinafsi wa Mwendazake.