Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nipo Tunduma wiki ya pili sasa. Daah Tunduma ni Kama Shunu iliyochangamka tu( Shunu ipo nje kidogo ya mji wa Kahama)

Mji upo hovyo hovyo ujenzi holela sana , uchafu kila sehemu, maji huku ni shida sana. Huu mji sidhani kama kuna viongozi.
Kahama kuna ujenzi upi wa maana na wapi pamepangwa?

Usiwe mpumbavu,Mji wa Tunduma umekuwa Halmashauri ya Mji mwaka 2010 wakati tayari Mji ulishakua..

Hapo kabla hakukuwa hata na mtu anapima viwanja ila sasa maeneo yote ya Nje ya Mji yanayoendelezwa sasa ni plots sio ujenzi holela..

Inawezekana wewe ni dereva wa malori ,Utakuwa umekwama kwenye foleni ya malori yanayovuka mpaka sasa unakuja kutolea hasira huku 😁😁😁😁
 
Ni kweli jamaa ni mchekeshaji anatuburudisha sana kwa vituko vyake...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Failures mnafarijiana 😁😁.

Nendeni kwa mikddle walau anajua jua kidogo mambo ya economics anaweza wasaidia..

Muulizeni je uwekezaji wa mitambo ya Tanesco inaongeza GDP au hapana? Atawapa jibu nyie ni vilaza wa uchumi.
 
Tukuwekee hapa ili ...sema nikutumie nauli uje nikutembeze ...nauli ya mbeya ni elfu 60 nichek pm
hizo hospital ni hiz na Sina muda wa kutumia picha waweza google

Sekotouere hospital
Bugando hospital
Uhuru hospital
AAR hospital
Tanzanite hospital
Mwanza hospital
Kamanga medics
Agha Khan hospital
Mwananchi hospital
Nyamagana hospital
Hindu Mandal hospital
.ukitaka addition nakupa

Mwanza hospital nina rafiki zangu wa Dodoma waliwaleta wake zao kuja kuattend clinic huko na kujifungua waliisifia kua wako vizuri
 
Halafu Mwanza mbona inataka kuufungua mgodi mkubwa wa dhahabu misungwi mbona hatujitapi unajua Gdp itakayopatikana hapo?
Zaidi ya dhahabu hakuna kitu kingine hiyo Mikoa yenu..

Nimeoridhesha Orodha ya migodi mipya ambayo iko mbioni kufunguliwa Mbeya,migodi iliyokuwa imesimama ikafufuliwa na migodi inayopanuliwa ujenzi sanjali na vinu vya Kuzalisha umeme..

Vyote hivyo vikiwa operational mtatukuta wapi nyie mnaotegemea dagaa na dhahabu tuu?

Hata hiyo dhahabu iko Chunya na Mbarali,Soko la dhahabu la Chunya ni namba 2 Tanzania kwa mapato ya dhahabu..

Hakuna kitu Mwanza watakuwa nacho Mbeya ikakosa.
 
Tajiri wenu Mwazinga kafa.
 
Ilipo Mwanza lazima Mbeya ipo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221027-214256.png
    Screenshot_20221027-214256.png
    447.3 KB · Views: 10
Zaidi ya dhahabu hakuna kitu kingine hiyo Mikoa yenu..

Nimeoridhesha Orodha ya migodi mipya ambayo iko mbioni kufunguliwa Mbeya,migodi iliyokuwa imesimama ikafufuliwa na migodi inayopanuliwa ujenzi sanjali na vinu vya Kuzalisha umeme..

Vyote hivyo vikiwa operational mtatukuta wapi nyie mnaotegemea dagaa na dhahabu tuu?

Hata hiyo dhahabu iko Chunya na Mbarali,Soko la dhahabu la Chunya ni namba 2 Tanzania kwa mapato ya dhahabu..

Hakuna kitu Mwanza watakuwa nacho Mbeya ikakosa.
Sangara mnazo ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakumbusha tu mwekezaji wa Royal hospital ya Mwanza ni akina Ndegesela wa Kahama, wenye kiwanda cha magunia, mabati, ginery, phamarcy na kiwanda cha mikate pale kahama
 
Nawakumbusha tu mwekezaji wa Royal hospital ya Mwanza ni akina Ndegesela wa Kahama, wenye kiwanda cha magunia, mabati, ginery, phamarcy na kiwanda cha mikate pale kahama
Huyu ndegesela si amefilisika ..au anataka ahamie mwanza ..maana huku kahama biashara zake haziendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa! Anaweza kubwa mnaona katetereka Labda amebadirisha model ya biashara! Maana Mzee Ndegesela alishakabidhi shughuli zake kwa mdogo wake Shija ambaye ni msomi wa shahada ya uchumi!
Ndo maana unaona jamaa Royal company inajipanua sana!

Yes Ndegesela aliachia miradi na kampuni kwa mdogo wake, ambao ukumbuke ginery yao hizalisha mafuta ya kula na kuiuzia WFP sudani kusini ambako wana tenda mbalimbali za mafuta ya kula
 
Yes Ndegesela aliachia miradi na kampuni kwa mdogo wake, ambao ukumbuke ginery yao hizalisha mafuta ya kula na kuiuzia WFP sudani kusini ambako wana tenda mbalimbali za mafuta ya kula
Ila sijajua vizuri kama Royal hospital ya mwanza iko chini ya Ndegesela!
Nahisi iko kona ya bwiru hapo!
 
Back
Top Bottom