Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tan 700k za ngano kuzalishwa Njombe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-202344.png
    Screenshot_20221030-202344.png
    87.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221030-202453.png
    Screenshot_20221030-202453.png
    53.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221030-202538.png
    Screenshot_20221030-202538.png
    57.5 KB · Views: 9
Uwekezaji huu wa kwenye Ziwa Nyasa utainua Sana uchumi wa Mikoa ya Ruvuma,Mbeya na Njombe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-202153.png
    Screenshot_20221030-202153.png
    124.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221030-202219.png
    Screenshot_20221030-202219.png
    55.6 KB · Views: 11
Kwa uwekezaji huu Wa Serikali ya awamu ya 6, kwenye Ziwa Tanganyika,tutegemee kukua Sana kwa GDP ya Mikoa ya Kigoma,Katavi na Rukwa.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221027-215952.png
    Screenshot_20221027-215952.png
    91 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221022-185250.png
    Screenshot_20221022-185250.png
    165.9 KB · Views: 8
sangara pekee wanachangia zaidi ya bilioni 600 kwenye GDP ya taifa ...hao wanaosema Mwanza inabebwa na madini sijui Huwa mnafikiria Kwa kutumia nini .....
mauzo ya sangara pekee ,,,,ni sawa thamani ya mazao yote yalimwayo mbeya
Screenshot_20221030-221435.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe umesoma kweli?
Kule kunakojengwa Bwawa la NYERERE kwa hesabu zako watakuwa na GDP kiasi gani?
huyu jamaa ,,...anafurahisha ...hajui PESA inayotolewa hapo inaenda kuongeza uchumi wa Egypt.....ni kiasi kidogo kinabaki nchini,hasa kupitia mishahara ya wafanyakazi.....
Formula ya GDP lazima +net (export-imports) ....pesa ya mkandarasi mmisri kwetu tunachukua thamani ya zabuni ,bidhaa,au huduma za tanzania zilizouzwa nje ya Tanzania unatoa zabuni ,huduma au bidhaa zilizoagizwa Toka nje ya Tanzania....Kwa hyo hapo pesa za miradi ya kimkakati zinaenda kwenye GDP za nchi husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya dhahabu hakuna kitu kingine hiyo Mikoa yenu..

Nimeoridhesha Orodha ya migodi mipya ambayo iko mbioni kufunguliwa Mbeya,migodi iliyokuwa imesimama ikafufuliwa na migodi inayopanuliwa ujenzi sanjali na vinu vya Kuzalisha umeme..

Vyote hivyo vikiwa operational mtatukuta wapi nyie mnaotegemea dagaa na dhahabu tuu?

Hata hiyo dhahabu iko Chunya na Mbarali,Soko la dhahabu la Chunya ni namba 2 Tanzania kwa mapato ya dhahabu..

Hakuna kitu Mwanza watakuwa nacho Mbeya ikakosa.
Kwa taarifa yako GDP ya mwanza inajengwa na hivi
1 mauzo ya sangara na sato nchi nzima na nje ya Tanzania ...Mauzo ya sangara pekee nje ya nchi yalikuwa zaidi ya bilioni 600 mwaka 2019 .Leo inacheza bilioni 800
2 kilimo Cha pamba ,dengu , mpunga na choroko ambapo mazao haya yote yanasafirishwa nje ya nchi
3 viwanda (Kuna zaidi 192 viwanda vikubwa )
4 biashara ya bidhaa ,mwanza ni hub na shopping center ya mikoa zaidi ya 7 ya Kanda ya ziwa na magharibi..
5 huduma za kijamii (hospital, taasisi za elimu,mawasiliano
6 biashara ya madini (dhahabu,almasi na madini ya ujenzi)
7 uwekezaji wa serikali katika miradi ,na matumizi yake kutokana na idadi kubwa ya watu
8 uwekezaji wa sekta binafsi , matumizi na kipato Cha Kila mtu Kwa idadi kubwa ya watu
9 utalii
10 sekta ya usafirishaji

Atakuja na swagss za parachichi na mbao, yaani analinganisha mboga na vitu vya kijinga, bado dagaa zinazokwenda Congo kila siku, achilia mbali ajira ya uvuvi inayotolewa na ziwa kwa wakazi wa Lake zone.
 
Hizi ni zile habari huwa hampendi kuzisikia..😁😁😁😁.

4Triln horticulture,Hapa hakuna dhahabu ya mzungu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-081333.png
    Screenshot_20221031-081333.png
    198.5 KB · Views: 7
Kwa taarifa yako GDP ya mwanza inajengwa na hivi
1 mauzo ya sangara na sato nchi nzima na nje ya Tanzania ...Mauzo ya sangara pekee nje ya nchi yalikuwa zaidi ya bilioni 600 mwaka 2019 .Leo inacheza bilioni 800
2 kilimo Cha pamba ,dengu , mpunga na choroko ambapo mazao haya yote yanasafirishwa nje ya nchi
3 viwanda (Kuna zaidi 192 viwanda vikubwa )
4 biashara ya bidhaa ,mwanza ni hub na shopping center ya mikoa zaidi ya 7 ya Kanda ya ziwa na magharibi..
5 huduma za kijamii (hospital, taasisi za elimu,mawasiliano
6 biashara ya madini (dhahabu,almasi na madini ya ujenzi)
7 uwekezaji wa serikali katika miradi ,na matumizi yake kutokana na idadi kubwa ya watu
8 uwekezaji wa sekta binafsi , matumizi na kipato Cha Kila mtu Kwa idadi kubwa ya watu
9 utalii
10 sekta ya usafirishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Sangara hata Njombe tunafuga through cage farming na ni inyerprise imeenea Nchi nzima hakuna anayesubiria sangara wa Mwanza miaka ya Leo,hao wa Mwanza mzungu anapeleka Ulaya..

2.Nimecheka eti kilimo Cha dengu 😁😁😁😁..

Tukizungumzia kilimo unaelewa ni wapi hapa Tanzania,saizi mnanunua gunia la mahindi 130,000 full maumivu wenzenu huku ni 90,000 full raha.

3.Mbeya imechapa Mwanza Kwa wingi wa viwanda,tuna viwanda zaidi ya 2,000 ,,Naona unajificha kwenye koti la viwanda vikubwa vya kanjibai unasahau mini sized industries za locals ndio zinatufanya tuna per Capita kubwa kuwazidi just third in Tanzania..

4.Biashara hata Mbeya zipo na inategemea na Mikoa 4 na ndio soko lao kubwa plus Malawi.

5.Kwenye huduma za jamii,Mwanza ni zero hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya,Mbeya ni centre ya Elimu sio tuu ya Kanda Bali ya Taifa ndio maana tuna Vyuo vikuu na taasisi za Kati nyingi kuliko Mwanza..

6.Wakati sekta ya madini inaendesha uchumi wa Mwanza,kwa Mbeya iko underdeveloped ni reserve ya GDP yetu once iko developed ndio hapo tutawapigia kipigo Cha mbwa kwa sababu we have a range of different minerals not just only dhahabu as it is in Mwanza..

7.Wakati Uwekezaji wa serikali kwa Mwanza is fairly developed and ahead of Mbeya,hii ni sekta pia ambayo iko underdeveloped nayo ina boost huge potential kwa kuja kuongeza GDP ya Mkoa once optimised..

8.Sekta binafsi Kwa Mbeya is also very pre mature compared to Mwanza yet we are just one point behind Mwanza in terms of GDP sasa ikijakuwa developed itakuaje? Tutawatandika kwa rungu kama kuponda nyoka..

9.Wakati Mwanza Utalii imeshika Kasi na unaendelea kushika Kasi kwa Mbeya ni kama haupo licha ya kuwa na vivutio lukuki..

Utalii has a significant potential to boost our GDP in future which will make it untouchable.

10.Kuhusu Transportation hapa napo itakuwa game changer kwa Mbeya..Mwanza is fairly developed and connected with all modes of transport systems so there will be no any significant new development in terms of infrastructures..

In case of Mbeya tunasubiria ,

-Mbeya-Tabora Road,

-Mbeya-Singida Road,

-Mbeya-Njombe road via Kitulo NP(barabra ya pesa?,

-Igawa-Tunduma Highway(Barabara ya Pesa),

-Uyole-Songwe Bypass(diversion ya Malori na barabara ya kufungua fursa?

-Iwambi-Mbalizi Bypass..

Mwisho tunasubiria Airport ikamikie,Soko kubwa la Kisasa,Stand za kisasa..

So kwa conclusion who has the potential? Sijagusa kilimo Wala misitu Wala horticulture.
 
Miradi yote unasubiria wakati huku mwanza ujenzi unaanza.

Kuna masoko mawili ujenzi umeanza, kirumba na mkuyuni.

Barabara.
Nyakato to mkuyuni 11km
Buhongwa to Igoma 14km
Buswelu Nyamhongolo 9km
Kuna miradi mingi ya barabara fupi inaleta zaidi ya 35km ndani ya jiji kujengwa kwa lami.

Miradi inayosubiria pesa
Njia nne Mwanza to Manangwa 55km.
Njia nne mwanza to Nyanguge
35km
Airport to Nyanguge 42km.

Miradi ya halmashauri ijayo.
Buzuruga commercial complex.
Soko kubwa Buswelu.
Tampere Park.

Airport.
Ujenzi wa passenger terminal kubwa size ya terminal II ya dar utaanza muda wowote.

Kuna makao makuu ya kituo cha uokoaji lake victoria, pesa imetoka zaidi ya 30b ni build and design wameshatangaza tender.

Kuna ujenzi wa kingo mto mirongo, zitajengwa sehemu za watu kuvuka kwa miguu, bustani za kupumzikia na public toilets along the river.

Vyuo.
Karibu kila chuo kimeshika eneo mwanza, vingine vimeshaanza ujenzi mfano chuo cha mipango.
TIA, DIT wanajenga campus kubwa tu zaidi ya 20b.
IFM Wametangaza tender.
CBE na Mzumbe wako kwenye michoro.

Ujenzi unaendelea.
Ujenzi wa mv mwanza.

Ujenzi wa sgr, huu ni mradi mkubwa kuna stesheni tatu ndani ya mkoa, stesheni ya mza itakuwa na mall, plus ile viaduct.
Kutakuwa na dry port na marshaling yard kubwa pale fela.

Ujenzi Chanzo cha maji butimba, zaidi ya 60b.

Ujenzi wa soko kubwa mjini kati.

Ujenzi wa soko la wamachinga la kisasa.

Ujenzi wa daraja la Magufuli.

Pia bandari Za mwanza zitaanza kufanyiwa ukarabati.

Hospitali.
Awamu ya pili ujenzi wa hospitali ya sekou toure unaanza.

Bugando wana mpango wa kujenga heart institute kutakuwa na jengo la 15f na 10f.

Kuna tajiri anataka jenga mall itakayokuwa na apartments ndani 19f kule nyakato.

Miradi ni mingi nimetaja ile mikubwa tu iliopo ndani ya jiji na sijaimaliza.

Kuna mingine iko mawilayani huko sijaitaja.
 
Umeongea vizuri sana kwamba Miradi yetu inasubiria while Mwanza iko tayari na mingine inaendelea na ujenzi..,this is the point I wanted to note..

Sasa kama huku Mbeya takribani miradi yote inasubiria yet tunawapumulia kisogoni vipi hiyo miradi ikianza na kuja kukamilika?

Baada ya hayo maelezo naomba nikujibu kama ifuatavyo maana naona umeandika story nyiingi za kwenye makaratasi..

In case of mipango ya kwenye makaratasi as far as Mbeya is concerned kuna mambo yafuatayo;

-Kuna Masoko 3 yatajengwa via Tactic soko la Sokomatola, Airport ya Zamani(Machinga) na Soweto..

-Barabara,
Kuna km 20 za barabara za lami zitajengwa via Tactic,achilia mbali barabara za urefu wa km 18 zinazoanzia kijijini kwenda Mbeya Rural chini ya mradi wa Agri-Connect zinaendelea na ujenzi as we speak..

Hizo barabra ni nje ya zile nilizokutajia hapo juu za TanRoads.

-Reli tayari tunayo siku nyingi,needs only to be electrified kama ambavyo Marais wa Tanzania na Zambia na China walikubaliana.

-Masuala ya maji ndio usiseme kuna mradi unaendelea wa Ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wa mto kiwita bil.250.(Maji yanatoka mto kiwira,yanakuja Mbeya hadi Songwe),

-Bandari za Ziwa Nyasa zinapanuliwa hususani Itungi Port,Malawi anaanza ku import mizigo yake kupitia bandari za Mbamba Bay,Itungi Port na Mtwara..Mbeya kuna Dryport ya mizigo ya Malawi hasa mafuta na itapanuliwa kuwa logistics centre kubwa.

-Hospitals.Hapa ukiacha ujenzi unaoendelea wa Hospital ya Kanda bado pia kuna upanuzi wa hospital ya Mkoa..

Aidha Serikali inapanga kujenga Tawi la Ocean Road Cancer Institute na eneo limetengwa pale TBC,

On top of that Udsm itajenga Chuo Kikuu Cha Afya cha Tiba ambacho kipo kwa sasa kinatumia majengo ya Chuo Cha Afya ya Kinywa Kule Rufaa,eneo limepatikana ni Tanganyika packers..

Vyuo.
-Hapa tayari tuna Vyuo vikuu vya kuzidi na vingine vingi viko mbioni kuanza ujenzi , miongoni mwao ni Udsm Ndaki ya Afya,ADEM,Upanuzi wa TIA,Upanuzi wa Institute of Construction Technology-ICoT(Tanzania vipo 2 Morogoro kampuni kuu na Mbeya) na Upanuzi wa CBE n.k.

Mwisho siwesi weka mipango ya watu binafsi hapa maana may not be realised tofauti na ya Serikali..

Kwenye ma Halmashauri huko ndio usiseme maana Nako ni moto..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-100037.png
    Screenshot_20221031-100037.png
    181.7 KB · Views: 6
Mtwara Corridor is getting momentum,msije kusema hanuoni👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-095907.png
    Screenshot_20221031-095907.png
    122.5 KB · Views: 8
1.Sangara hata Njombe tunafuga through cage farming na ni inyerprise imeenea Nchi nzima hakuna anayesubiria sangara wa Mwanza miaka ya Leo,hao wa Mwanza mzungu anapeleka Ulaya..

2.Nimecheka eti kilimo Cha dengu ..

Tukizungumzia kilimo unaelewa ni wapi hapa Tanzania,saizi mnanunua gunia la mahindi 130,000 full maumivu wenzenu huku ni 90,000 full raha.

3.Mbeya imechapa Mwanza Kwa wingi wa viwanda,tuna viwanda zaidi ya 2,000 ,,Naona unajificha kwenye koti la viwanda vikubwa vya kanjibai unasahau mini sized industries za locals ndio zinatufanya tuna per Capita kubwa kuwazidi just third in Tanzania..

4.Biashara hata Mbeya zipo na inategemea na Mikoa 4 na ndio soko lao kubwa plus Malawi.

5.Kwenye huduma za jamii,Mwanza ni zero hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya,Mbeya ni centre ya Elimu sio tuu ya Kanda Bali ya Taifa ndio maana tuna Vyuo vikuu na taasisi za Kati nyingi kuliko Mwanza..

6.Wakati sekta ya madini inaendesha uchumi wa Mwanza,kwa Mbeya iko underdeveloped ni reserve ya GDP yetu once iko developed ndio hapo tutawapigia kipigo Cha mbwa kwa sababu we have a range of different minerals not just only dhahabu as it is in Mwanza..

7.Wakati Uwekezaji wa serikali kwa Mwanza is fairly developed and ahead of Mbeya,hii ni sekta pia ambayo iko underdeveloped nayo ina boost huge potential kwa kuja kuongeza GDP ya Mkoa once optimised..

8.Sekta binafsi Kwa Mbeya is also very pre mature compared to Mwanza yet we are just one point behind Mwanza in terms of GDP sasa ikijakuwa developed itakuaje? Tutawatandika kwa rungu kama kuponda nyoka..

9.Wakati Mwanza Utalii imeshika Kasi na unaendelea kushika Kasi kwa Mbeya ni kama haupo licha ya kuwa na vivutio lukuki..

Utalii has a significant potential to boost our GDP in future which will make it untouchable.

10.Kuhusu Transportation hapa napo itakuwa game changer kwa Mbeya..Mwanza is fairly developed and connected with all modes of transport systems so there will be no any significant new development in terms of infrastructures..

In case of Mbeya tunasubiria ,

-Mbeya-Tabora Road,

-Mbeya-Singida Road,

-Mbeya-Njombe road via Kitulo NP(barabra ya pesa?,

-Igawa-Tunduma Highway(Barabara ya Pesa),

-Uyole-Songwe Bypass(diversion ya Malori na barabara ya kufungua fursa?

-Iwambi-Mbalizi Bypass..

Mwisho tunasubiria Airport ikamikie,Soko kubwa la Kisasa,Stand za kisasa..

So kwa conclusion who has the potential? Sijagusa kilimo Wala misitu Wala horticulture.
Wacha kuchanganya Sangara na Sato,
 
Back
Top Bottom