Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Hvyo 1790 kategory yake ni mtaji wa milion 5 + ..washona cherehani ,mashine za kukoboa mpunga ,Unajifanya huoni 1790![]()


Hvyo 1790 kategory yake ni mtaji wa milion 5 + ..washona cherehani ,mashine za kukoboa mpunga ,Unajifanya huoni 1790![]()


Leta figure za viwanda vikubwa na vya kati maana ndo vinagusa uchumi Moja Kwa Moja na ni alama ya kivutio Cha uwekezaji katika mkoaUnajifanya huoni 1790![]()
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Leta figure za viwanda vikubwa na vya kati maana ndo vinagusa uchumi Moja Kwa Moja na ni alama ya kivutio Cha uwekezaji katika mkoa
😁😁😁😁 Excuse as usual .Hvyo 1790 kategory yake ni mtaji wa milion 5 + ..washona cherehani ,mashine za kukoboa mpunga ,View attachment 2395123
Figures zilizopo na nazoziona ni 1790 Mbeya vs 92 ya Mwanza 😂😂😂😂Ko figure huzioni au .tatizo watu wa ludewa akili zenu FUPI kama mlivyo ... tembea tembea bas utoe ushamba... shinyanga Kuna viwanda Gani sasa au hujisomi ..mwanza Ina space za kutosha za viwanda na maeneo ya EPZ ...Kuna nyamhongolo, kisesa, Usagara, buhongwa.kote ni space na tambalale
Wewe ndio hauna akili kabisa, Leta data inayoonyesha Mbeya ina viwanda vingi kuliko Mwanza, Wewe ndio haujafika sehemu yoyote, Mbeya nimefika na sehemu zozote unazobishania nazijua kwa undani iwe mitaa au sehemu yoyote sema Mbeya sikutembea sana ila kwa ile CBD ya Mbeya huwezi fananisha na Mwanza...Wewe mara nyingi huwa nakwambia huna akili,mwenzio amekusaidia hapo Chini..
Seems wewe hata Mbeya huijui aisee walau mwenzio katembea tembea kidogo maana maswali yako ni ya Kijinga..
Sasa unadhani GDP ya 9Trn inatoka hewani au?
Umepiga kwenye mshono...Leta figure.sio maneno maneno ....kama mwaka 2016 wakati huo GDP ya mwanza ilikuwa trillion 7 kulikuwa na viwanda 92 ,,,je mwaka 2022 wakati GDP ni trillion 12 itakuwaje......Mimi nimekuletea figure we unaleta assumptionau nirudie Tena ..
View attachment 2395115
Mwanza ni ya moto ..... nyamagana imetoka kwenye viwanda 22 mwaka 2017 Hadi viwanda vikubwa 74 mwaka 2020...Figures zilizopo na nazoziona ni 1790 Mbeya vs 92 ya Mwanza![]()

Farasi ni kichaa anaweza akaja siku moja na uzi wa Njombe Vs Mwanza...Mwanza ni ya moto ..... nyamagana imetoka kwenye viwanda 22 mwaka 2017 Hadi viwanda vikubwa 74 mwaka 2020...
Usijisahualishe ...leta figure ya viwanda vikubwa .....View attachment 2395143
Bado haviwezi kufikia 1790 😜😜..Mwanza ni ya moto ..... nyamagana imetoka kwenye viwanda 22 mwaka 2017 Hadi viwanda vikubwa 74 mwaka 2020...
Usijisahualishe ...leta figure ya viwanda vikubwa .....View attachment 2395143
😂😂 Soma hiyoo 👇Wewe ndio hauna akili kabisa, Leta data inayoonyesha Mbeya ina viwanda vingi kuliko Mwanza, Wewe ndio haujafika sehemu yoyote, Mbeya nimefika na sehemu zozote unazobishania nazijua kwa undani iwe mitaa au sehemu yoyote sema Mbeya sikutembea sana ila kwa ile CBD ya Mbeya huwezi fananisha na Mwanza...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sasa kama hatuwekezi tunaishije? Nipe Kazi mimi ni contractor na kampuni yangu inaitwa Usagatikwa Earthworks Contractors ltd..👇Japo napenda ligi yenu lakini tusiishie kusifia mali za watu wengine huu ushindani utupeleke tukaribishane kila mmoja kwao alipo tuone uwekezaji wake ni upi na wengine wajifunze haina maana kupost na kusifia tu vitu vya wengine tujiongeze na kujenga urafiki wa maendeleo na kupeana fursa mpya na zilizopo na tufanye mambo halali tulipe kodi nchi isonge mbele
Tukuwekee hapa ili ...sema nikutumie nauli uje nikutembeze ...nauli ya mbeya ni elfu 60 nichek pmBasi haviwezi kufikia 1790..
Eti Mwanza ina Hospital 11 wakati mlishindwa kuziweka hapa![]()

Kwenye Orodha Hivi hapa havikuwepo,hivi ni viwanda vipya ukiacha hicho Cha malumalu.👇Kati ya hivyo viwanda 10 ni vikubwa..
Tunazungumzia Mwanza unataja Shinyanga 😁😁.Kwa Viwanda Mwanza ilishaiacha Mbeya miaka mingi sana, pombe kali aina ya hansonchoice ya Shinyanga inauzwa mbeya breakpoint na chupa zao ni mfano wa chupa za K vant, yaani chupa za glass wakati hao Wa pombe ya master waliopo sido ndio wanajikongoja kuachana na chupa za plastick halafu spirit yao mbovu ladha ya nanasi inawasha koo muda wote ukiinywa
Vimewekwa kwenye viwanda 20 vya katiKwenye Orodha Hivi hapa havikuwepo,hivi ni viwanda vipya ukiacha hicho Cha malumalu.![]()


..hyo figure ya mbeya ni Mpya ...yaani total ya viwanda vikubwa na vya kati mbeya ni 30 .



