Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

ukisema kijiji cha Mbeya kina CBD nne basi Mwanza itakuwa na Cbd sita na kwenye hizo cbd sita za mwanza cbd ya mbeya haiwezi kuzidi hizo ata miaka 10 ijayo.
Hata mkiwa nazo 100 ila inajulikana moja tuu ya hapo Mjini..

Mbeya ofisi ziko city centre kama posta na biashara ziko Mwanjelwa kama Kariakoo Dar.
 
[emoji1][emoji1] Wewe ndio kimba kabisa ,hizo unasosema naokoteza ziko CBD na Nimekwambia Mbeya ni kama.Dar ina CBD nzuri.
Usifananishe dar na upuuzi...mwanjelwa ipi unayoifananisha na kariakoo.hii au [emoji116][emoji116][emoji14][emoji14]
images (34).jpg
images (37).jpg
images (38).jpg
 
Usifananishe dar na upuuzi...mwanjelwa ipi unayoifananisha na kariakoo.hii au [emoji116][emoji116][emoji14][emoji14]View attachment 2401348View attachment 2401349View attachment 2401350
Kaka mimi nimesoma nikakaa kimya,
Kuna hoja za kijinga huwa sijadili, mfano mtu anasema mwanza hakuna jengo kama la mahakama kuu mbeya, ni kama vile nichukue ghorofa la nssf mwanza niseme dar hakuna jengo kama hilo, does it mean mwanza is ahead of dar? Stupid arguments hizi.
 
Back
Top Bottom