Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

huo mgodi ukianza kufanya kazi mjukuu wako atakuwa tayari ni mifupa chini ya ardhi
Nyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..

Plant mpya ya natural carbon dioxide gas inaenda kuzinduliwa mwaka huu..

Tukutane GDP ya mwaka 2022 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-200724.png
    Screenshot_20221029-200724.png
    121 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221029-200749.png
    Screenshot_20221029-200749.png
    72.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221029-200928.png
    Screenshot_20221029-200928.png
    56 KB · Views: 6
Hv soko linalojengwa mwanza mjini soko la mwanjelwa linaifikia ?😄😄😄
Vitu vidogo hivyo vya sijui soko sijui nini..

Kutana na vitu vya maana kama hivi huko Mbeya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-195945.png
    Screenshot_20221029-195945.png
    129.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221029-200029.png
    Screenshot_20221029-200029.png
    92.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221029-200119.png
    Screenshot_20221029-200119.png
    96.1 KB · Views: 7
Nyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..

Plant mpya ya natural carbon dioxide gas inaenda kuzinduliwa mwaka huu..

Tukutane GDP ya mwaka 2022 👇
Sio ya mwaka 2022 tu ata ya mwaka 2200, najua tutawakalisha na gdp yenu itaingia mara nne kwa Mwanza gdp😝😝
 
Nyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..

Plant mpya ya natural carbon dioxide gas inaenda kuzinduliwa mwaka huu..

Tukutane GDP ya mwaka 2022
GDP ya 2022 Kwa growth rate ipi mliyo nayo .... growth avarage yenu ni b 500 wakati mwanza ni trillion 1 .... Kwa hyo compute mathematically those figure
 
GDP ya 2022 Kwa growth rate ipi mliyo nayo .... growth avarage yenu ni b 500 wakati mwanza ni trillion 1 .... Kwa hyo compute mathematically those figure
Marudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..

Megawatt 70 kuanza kuzalishwa Mbeya zaidi ya Bil.300 kuingizwa kwenye GDP ya Mbeya mwaka 2022..

Tukutane kwenye hesabu za GDP ya 2023 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-211140.png
    Screenshot_20221029-211140.png
    133.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221029-211210.png
    Screenshot_20221029-211210.png
    48.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221029-211423.png
    Screenshot_20221029-211423.png
    57 KB · Views: 8
Marudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..

Megawatt 70 kuanza kuzalishwa Mbeya zaidi ya Bil.300 kuingizwa kwenye GDP ya Mbeya mwaka 2022..

Tukutane kwenye hesabu za GDP ya 2023 👇
Umeme gridi ya taifa chini ya tanesco nao kumbe unaongeza gdp ya mbeya nilikuwa sijui hii mambo🙄🙄🙄
 
Umeme gridi ya taifa chini ya tanesco nao kumbe unaongeza gdp ya mbeya nilikuwa sijui hii mambo🙄🙄🙄
Hujui kitu wewe kenge..Unajua hata components za GDP kweli?

Unaelewa hata maana ya Government investment kweli? Mwambie huyo mwenzio akufafanue kwamba inaongeza GDP au haiongezi..

Mwisho narudia tena kusema nyie ni maskini wa kutupwa huko Mwanza..

Mgodi huu hapa umeanza uzalishaji mwaka huu Madini yanauzwa Ulaya..Tani 60,000.

Sipati Picha GDP ya Mbeya 2023 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-213629.png
    Screenshot_20221029-213629.png
    212.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221029-213914.png
    Screenshot_20221029-213914.png
    287.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221029-213732.png
    Screenshot_20221029-213732.png
    295.4 KB · Views: 7
Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.

Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama Kahama?

Una bahati mbaya nakujua Njombe 😂😂😂 Kahama iko juu.
Bloangu madini yanaisha,kama Almasi Mwadui zimeacha mashimo,miti inapandwa tu leo kesho
 
Ila kufananisha Mwanza na Mbeya sio fair tuongelee fursa tupate pesa tu.labda kama mnapenda kuchangamsha jukwaa hili.
Hapa tunachangamsha tu jukwaa tukiwa na sanki falasi kosti, hakuna reality ya battle hapa.
 
Marudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..

Megawatt 70 kuanza kuzalishwa Mbeya zaidi ya Bil.300 kuingizwa kwenye GDP ya Mbeya mwaka 2022..

Tukutane kwenye hesabu za GDP ya 2023 👇
Hivi wewe umesoma kweli?
Kule kunakojengwa Bwawa la NYERERE kwa hesabu zako watakuwa na GDP kiasi gani?
 
Hivi wewe umesoma kweli?
Kule kunakojengwa Bwawa la NYERERE kwa hesabu zako watakuwa na GPD kiasi gani?
Wewe shule gani uliyosoma kiasi kwamba huelewi hata maana na components za GDP? Hujui hilo Bwawa ni Capital investment so inaongeza GDP sio tuu ya Mkoa bali ya Nchi?

Sasa Til.6 ndio pesa wewe unaona kuubwa? Hiyo inaongezea tuu GDP on particular construction years,baada ya hapo payments za uzalishaji wa Umeme zitahesabika kama mapato so zitakuza GDP 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-193721.png
    Screenshot_20221030-193721.png
    43 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221030-194032.png
    Screenshot_20221030-194032.png
    65.9 KB · Views: 6
Nipo Tunduma wiki ya pili sasa. Daah Tunduma ni Kama Shunu iliyochangamka tu( Shunu ipo nje kidogo ya mji wa Kahama)

Mji upo hovyo hovyo ujenzi holela sana , uchafu kila sehemu, maji huku ni shida sana. Huu mji sidhani kama kuna viongozi.
 
Back
Top Bottom