Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • IMG_20221016_112220_105.jpg
    IMG_20221016_112220_105.jpg
    1 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_112229_092.jpg
    IMG_20221016_112229_092.jpg
    1.2 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_112348_746.jpg
    IMG_20221016_112348_746.jpg
    1.1 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_111908_948.jpg
    IMG_20221016_111908_948.jpg
    1.1 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_111908_270.jpg
    IMG_20221016_111908_270.jpg
    1.1 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_111850_741.jpg
    IMG_20221016_111850_741.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Miji ya katoro na Buse inawatu wengi mno Hao walkua wanapiga mishe zao. Usisahau watu walilazimishwa kufunga biashara zao na Mabasi yalitolewa bure na watu wengine walipewa posho
Sema Vijijini hakuna Mji hapo 😬😬.

Mji unakuwa hivi? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221016-160451.png
    Screenshot_20221016-160451.png
    185.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221016-152143.png
    Screenshot_20221016-152143.png
    294.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221016-151755.png
    Screenshot_20221016-151755.png
    290.3 KB · Views: 8
Kwa project hiz .nyanda za juu sahauni kuipita Kanda ya ziwa kiuchumi
70cf941bc59fb3eeab55ae1bf2151bd9.jpg
 
Nilikua naipa chapuo nyanda za juu kusini nilipoona mapato ya kanda ya ziwa nimebadili mawazo nyanda za juu bado haina potential kiuchumi na fursa ni za kutafuta hongera mwanza, hongera kagera, hongera mara, hongera simiyu, hongera shinyanga, hongera Geita baba lao kwenye dhahabu
 
Kwa viazi ulaya na maparachichi sio Siri wametuzid
 
Kwa viazi ulaya na maparachichi sio Siri wametuzid

Parachichi ya kilo moja 1500 uiweke na sangara 7000 kwa kilo hapo hujauza bondo, miti ya mbao tena bei zimeshuka ulinganishe na dhahabu gram inachezea kwenye 130k , hapana nimetafakari nimestuka kahawa ipo kagera na kigoma pia, Mwanza inategemewa na mikoa ya Geita, shinyanga, mara, tabora, katavi, simiyu, kagera, wote hufunga mizigo mwanza, mikoa tajwa hufanya biashara na eastern congo, uganda, rwanda, burundi, kenya, south sudan directly wanapeleka mazao kama udaga, mahindi, magimbi, mchele na kadhalika, wamefuga ng’ombe nyingi hata kama ni za kienyeji, ndizi kagera hasa karagwe. Kahawa muleba na karagwe, yaani kanda ya ziwa iko mbali kiuchumi kuliko nyanda za juu kusini huu ni ukweli mchungu maana naona pesa inatoka lake zone inafuata mahindi ileje isongole means kusini ni wakulima wakulima sana lakini wanunuzi wako kanda ya ziwa
 
Sangara wanafaidi viwanda vya Wahindi nyie ni watazamaji
 
Nilikua naipa chapuo nyanda za juu kusini nilipoona mapato ya kanda ya ziwa nimebadili mawazo nyanda za juu bado haina potential kiuchumi na fursa ni za kutafuta hongera mwanza, hongera kagera, hongera mara, hongera simiyu, hongera shinyanga, hongera Geita baba lao kwenye dhahabu
Mapato yapi hayo mliyonayo Kanda ya Ziwa?

Yaweke hapa tuyaone wote vinginevyo unajitekenya na kucheka mwenyewe 😁😁
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-082350.png
    Screenshot_20221018-082350.png
    123.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221018-082431.png
    Screenshot_20221018-082431.png
    117.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221018-082451.png
    Screenshot_20221018-082451.png
    149.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221018-082505.png
    Screenshot_20221018-082505.png
    149.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221018-082613.png
    Screenshot_20221018-082613.png
    111.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221018-082622.png
    Screenshot_20221018-082622.png
    117.8 KB · Views: 5
Wodi hospital ya Mkoa wa Mbeya 👇
 
Attachments

  • IMG_20221016_070652_759.jpg
    IMG_20221016_070652_759.jpg
    1.1 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_070731_210.jpg
    IMG_20221016_070731_210.jpg
    1 MB · Views: 6
Back
Top Bottom