Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

CBD Huwa haikai kwenye miji linear qkama makambako
Acha kukalili mzee makambako sio linear hii imejengeka Kila Kona ni mji uliopo junction tambarare ya kutosha muwe mnatembea kidogo
FB_IMG_16378606835393910.jpg
FB_IMG_16378611282382392.jpg
FB_IMG_16230845032566853.jpg
 
hiyo ndo makambako mzee wivu wa Nini ulikuwa unaongelea mji ambao huu ujui umepigwa Cha mbavu unasikilizia maumivu sijui ya wap
Sasa hayo mabanda ni mji ..aisee pole sana
Miradi mikubwa kama hii huwezi ikuta Kwa misitu ya nyumba nitu
20220804_212606.jpg
 
Ujenzi DIT phase one umeanza .....maji mtayaita mmaView attachment 2388692
Mbeya ni Mwalimu wa Mwanza kwenye education facilities,yaani huko kwenye Technical colleague tumevuka tuna University of Science and Technology na tunatengeneza hadi drones..

On other side ,Ujenzi wa Lecture Theater of ADEM Mbeya Centre 👇
 

Attachments

  • IMG_20221016_090423_622.jpg
    IMG_20221016_090423_622.jpg
    1.3 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_090013_638.jpg
    IMG_20221016_090013_638.jpg
    1.1 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_085945_937.jpg
    IMG_20221016_085945_937.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Hii ndio green city tunayoambiwa Kila siku ..aisee kumekauka vibaya mno ...angalieni majiji ya wenzenu yanavyovutiaView attachment 2388691
Unaleta picha za masika na zenye filter,leta picha live tuone..

Sweet Green City Mbeya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221016-105023.png
    Screenshot_20221016-105023.png
    215.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221016-105038.png
    Screenshot_20221016-105038.png
    242.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221016-105257.png
    Screenshot_20221016-105257.png
    272.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221016-105436.png
    Screenshot_20221016-105436.png
    287.3 KB · Views: 6
Nitembee wapi ,,,,kusini eneo zuri ni iringa tu . kwingine ni trash
Iringa iko Kanda ya Ziwa? 😬😬..

Eneo zuri ni Iringa tuu heeee heee..

Mbeya 👇
 

Attachments

  • IMG_20221016_112558_552.jpg
    IMG_20221016_112558_552.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_112515_282.jpg
    IMG_20221016_112515_282.jpg
    1.2 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_112044_677.jpg
    IMG_20221016_112044_677.jpg
    1.1 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_112010_546.jpg
    IMG_20221016_112010_546.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_114448_083.jpg
    IMG_20221016_114448_083.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_114327_077.jpg
    IMG_20221016_114327_077.jpg
    1.7 MB · Views: 7
Race ya Vyuo inaendelea Mbeya..

Ujenzi wa Lecture Theater na Computer Lab for Catholic University College of Mbeya at Forest ares Mbeya City ukiendelea
Yaan kuna vumbi sana huko...

Hebu Tazama hali ya Bukoba ulinganishe na huko mavumbini mbeya
Screenshot_20221015-143019.jpg
Screenshot_20221015-143016.jpg
 
Back
Top Bottom