Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unfortunately GDP yote ya Kanda ya Ziwa ni pesa ya migodi ya Mzungu ..
Ninavyokuambia urudi shule ukajifunze Huwa naamnisha siku moja usije aibika .......,,,,,,GDP ni jumla ya thamani ya uchumi uliopo ndani ya eneo husika ...hata ukisema ni pesa mzungu saw kabisa Kwa sababu wawekezaji ndio chanzo kikubwa maendeleo... mzungu huyo ataajiri watu ,,atafanya expense ..nk ...Kwa taarifa yako,,,madini mchango wake ni asilimia 7 ya uchumi wa mikoa ya Kanda ya ziwa . asilimia 93 ni
Kilimo(shinyanga na mwanza wanauza Mchele Uganda,Rwanda na kenya .mwanza inauza choroko na dengu India. )
Uvuvi (mwanza,Kagera na musoma zinauza dagaa na samaki nchi nzima na ulaya)
Mifugo(shinyanga, mwanza wanauza ngombe wa nyama dar es salaam)
Utalii (Serengeti,rubond island,saa nane
NK
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-112154.png
    Screenshot_20221018-112154.png
    163.5 KB · Views: 12
Tunduma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-112812.png
    Screenshot_20221018-112812.png
    116 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221018-112723.png
    Screenshot_20221018-112723.png
    145.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221018-112947.png
    Screenshot_20221018-112947.png
    194.6 KB · Views: 11
Sasa wewe tangu lini GDP growth ikawa na rate sawa kila mwaka?

Growth rate itategemea na investments mpya za serikali na private sector na Kwa muktadha huo kwa kuzingatia massive untapped resources zilizopo Mbeya,ni suala la muda tuu kwamba mtapitwa iwe mathematically au vinginevyo..

Migodi yetu mikubwa ikitema,kilimo kikubwa cha mashamba ya biashara kikianza na biashara za mipakani kuchanganya tutakimbia Sana..

Mwisho investments za serikali zikiwezeshwa zote Kwa mfano barabara ya Kuja Kanda ya Ziwa kupitia Chunya na barabara ya Njombe kupitia Makete zikifunguka tuu zitaongeza GDP ya Mkoa haraka Sana maana hizo ni barabara muhimu sana hapa Mbeya..
Vipi kuhusu mgodi mkubwa hapa Tanzania wa sengerema ukianza kutema Mwanza utaikuta?
 
Mwanza ukiaproximate ni trillion 12 hapo umechanganya mkuu ni 11.9
Nikurupuke nini Kwa figure ulizotoa ..mikoa ya kusini zaidi ya mikoa 6
Rukwa -trilion 2.9
Mbeya-trilion 9
ruvuma-trilion 6
njombe-trilion 3
Iringa -trilion 6
Songwe trillion 2.9
Total ni trillion 29 GDP saw na mkoa nzima wa dar es salaam
Kanda ya ziwa
mwanza-trilion 11
shinyanga-trilion 8
Mara trillion 6
Kagera 5
Geita trillion 7
Total ni trillion 36 .saw na 25 percent robo ya uchumi wa taifa .
 
Ninavyokuambia urudi shule ukajifunze Huwa naamnisha siku moja usije aibika .......,,,,,,GDP ni jumla ya thamani ya uchumi uliopo ndani ya eneo husika ...hata ukisema ni pesa mzungu saw kabisa Kwa sababu wawekezaji ndio chanzo kikubwa maendeleo... mzungu huyo ataajiri watu ,,atafanya expense ..nk ...Kwa taarifa yako,,,madini mchango wake ni asilimia 7 ya uchumi wa mikoa ya Kanda ya ziwa . asilimia 93 ni
Kilimo(shinyanga na mwanza wanauza Mchele Uganda,Rwanda na kenya .mwanza inauza choroko na dengu India. )
Uvuvi (mwanza,Kagera na musoma zinauza dagaa na samaki nchi nzima na ulaya)
Mifugo(shinyanga, mwanza wanauza ngombe wa nyama dar es salaam)
Utalii (Serengeti,rubond island,saa nane
NK
Hakika wewe ni mbobezi wa uchumi kutoka chuo kikuu cha Havard nchini America🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kwa hiyo mnataka kushindana na Kahama au mnajitutumua baada ya kupitwa na Kahama?..

Kuna Uzi wa Kahama vs Shinyanga ungeandika hayo Inge sound vizuri kule ukaitetee Shinyanga yako..

Kwa hapa Uko sawa shinyanga haitoweza kuipita kahama sawa na mzunguko wa pesa songea haitokuja kuipita mbinga au kibiashara kigoma mjini haitokuja kuizidi biashara kasulu
 
Kama hizo trillion 12 tumezipata kwa kuuza dagaa sasa tutapata trillion 23 kwa kuuza dhahabu za mradi mkubwa wa nyanzaga, sengerema.😝😝
Wameshindwa kina Shinyanga na migodi zaidi ya 3 sembuse hako kamoja?

Geita iko wapi? Mtaipata ila sio ndani ya miaka 3,the moment mnaifikia hiyo Mbeya itakuwa imeshawapita zamani Sana..

Mbeya tutawapita bila hata Migodi bali kwa barabara tuu.
 
Back
Top Bottom