Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Daraja la kigongo busisi likiisha na kuanza kazi mwanza itakuwa kiuchumi sana zaid ya asilimia 30 malori mengi sana yatapita mwanza hapo bado sijazungumzia reli ikiisha na meli ya mv mwanza hapa kazi tu yan kiukweli geographical location ya mwanza inaibeba sana aisee
Kwa ajili ya nini hasa? Tupe tafiti inayoonyesha hiyo 30% contribution vinginevyo ni porojo za kujifariji.
 
Jamaa umeongea kiunyonge Sana .

Ukielewa maana ya GDP ndio utajua kuna Nini? ..

Rudisheni GDP ya Busega Simiyu Ili tupunguze figures ya Mwanza.
Yaani wewe uelewe GDP halafu mimi nisielewe...?! hata ikirudishwa Mbeya haisogei, Li Mbeya ni li kubwa lakini hakuna kitu hebu jiulize kutoka Mbeya Mjini hadi Rungwe ni kama km 298 eti bado hiyo ni Mbeya...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wewe uelewe GDP halafu mimi nisielewe...?! hata ikirudishwa Mbeya haisogei, Li Mbeya ni li kubwa lakini hakuna kitu hebu jiulize kutoka Mbeya Mjini hadi Rungwe ni kama km 298 eti bado hiyo ni Mbeya...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unaropokaga tuu wewe hujawahi kuwa na akili 😁😁..

Mbeya-Kyela km 120 hiyo km 298 ya Rungwe umeitoa wapi?
 
Vile stendi ya nyegezi haijakamilika vizuri.huko mtandaonj haters washapagawa ....hata haters hawakubaliani kuwa mbeya ni jiji kubwa...hapo hizo terminal hazikamilika vizuri
PSX_20221009_180323.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Toa utoto wako,hiyo Shinyanga iko namba 4 ni kwa sababu ndani kuna Simiyu..

Hata figure ya Mwanza sio sahihi kwa sababu Kuna mojawapo ya Wilaya ya Simiyu imehesabiwa upande wa Mwanza..

Baada ya Break through Top 10 kwa Kanda ya Ziwa kutakuwa na Mwanza na Geita tuu..

So starategic infrastructure zitakuja tuu kwa sababu tuna kila aina ya fursa,subiria migodi mikubwa ya Songwe na Rukwa ianze kutema madini.
Wilaya gani hiyo ambayo ilikua Mwanza ikapelekwa Simiyu na ina figures Nyingi za kuiondoa Mwanza namba 2
 
Wakati kusini mkisubiri ruzuku ndio mjenge miradi yenu huku hatuna huo muda .. mapato ya ndani yanatosheleza Kila kitu ...kahama ni republic View attachment 2383024
Sorry to say this office building is Ugly and dirty..😁😁

Kahama mnatia aibu Sana kiukweli yaani hilo ndio jengo la Manispaa?🤣🤣

Fananisha Njombe TC DED Office 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-064144.png
    Screenshot_20221011-064144.png
    162.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221011-064129.png
    Screenshot_20221011-064129.png
    123.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221011-064150.png
    Screenshot_20221011-064150.png
    157.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221011-064120.png
    Screenshot_20221011-064120.png
    104.9 KB · Views: 10
Hapa ni mapato ya ndani tu ...sio ruzuku na misaada ya wahisani kama huko kwenu
20220812_104331.jpg
 
Back
Top Bottom