The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Kwamba RC wa Geita anawaonea wivu au? 😁😁😁😁.Wivu tu
Geita inaongoza Kwa udumavu 👇
Kwamba RC wa Geita anawaonea wivu au? 😁😁😁😁.Wivu tu
Soma kwanza hapa 👇maumivu yanapofika kichwani humfanya mtu aongee nonsense ..
Tulia dozi ifike tumboni
endelea kuugulia maumivu ..
Mwanza first terminal ongoing construction..wakati TAA wakiandaa ujenzi wa terminal 2 ...View attachment 2378252View attachment 2378253
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Msururu wa miradi inayoenda kutekelezwa na Tamisemi jijini Mbeya,stand mpya 2 ni miongoni![]()


...leta vitu onground ..hizo politics hata kigoma Kuna mipango ya kujenga international airport...Hamna mradi wa maana hapo ...hyo stendi ikijengwa ySoma kwanza hapa![]()

Umeanza kuweweseka,umeambiwa miradi inaanza mwezi November wewe unaleta porojo Kisa wivu 😆😄😄.....leta vitu onground ..hizo politics hata kigoma Kuna mipango ya kujenga international airport...
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sie tutakuwa na stand nyingi nyingi kama Dar Wala hatuhitaji kurundika Mabusi sehemu moja..Hamna mradi wa maana hapo ...hyo stendi ikijengwa y
Kuizid hii niite mbwaView attachment 2378262View attachment 2378263View attachment 2378264
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Vibarabara vya km 2 .sijui tatu .Umeanza kuweweseka,umeambiwa miradi inaanza mwezi November wewe unaleta porojo Kisa wivu..
Hiyo ni miradi Nje ya TanRoads..Uwepo wa Tulia kama.Speaker ni Neema kwa Mbeya..
Speaker alimwambia Rais kwamba shida kubwa ya Mbeya ni barabara na ndio matokeo yake hayo Sasa Kazi imeanza..
Unadhani Katibu Mkuu Tamisemi alikuja kuuza sura?
..Peleka upunguwani wako huko huko njombe, mambo ya mastendi mengi mengi waachie mwanza nyie hamtaweza, Mwanza tuna stendi kama tano, na kubwa za kimtaifa zipo mbili, au unataka kuita maegesho yenu ya mabajaji nazo ni bus terminals.😅😅😅😅Sie tutakuwa na stand nyingi nyingi kama Dar Wala hatuhitaji kurundika Mabusi sehemu moja..
Tutakuwa na stand kuu mpya,stand ya Uyole,stand ya Airport ya Zamani na stand ya Igawilo bila kusahau stand ya Sasa..
Ushamba wa kuweka kastand kamoja tunawaachia nyie.
Sie tutakuwa na stand nyingi nyingi kama Dar Wala hatuhitaji kurundika Mabusi sehemu moja..
Tutakuwa na stand kuu mpya,stand ya Uyole,stand ya Airport ya Zamani na stand ya Igawilo bila kusahau stand ya Sasa..
Ushamba wa kuweka kastand kamoja tunawaachia nyie.


we jamaa hujielewi ..jiji pekee lenye stendi mbili za kisasa ni mwanza tu hamna kwingine..mbeya Kwa ukubwa Gani wa kuwa na stendi mbili labda bajaji 





nyegezi terminal vs nyamhongolo Ana leta tumiradi twa mitaa eti tubarabara twa mita tatu, wakatati watu wanamiradi ya barabara zaidi ya 15km🤣🤣🤣Vibarabara vya km 2 .sijui tatu .
.uchafu mtupu ..TAMISEMI IKO HUKU..
Kwenye hiz bi ..Kuna soko kubwa la kisasa .. kirumba
Soko kubwa la kisasa special Kwa ajili ya samaki mkuyuni
Ujenzi wa bypass km 15 igoma buhongwa
ujenzi wa bypass km 10 buswelu kwenda stendi Mpya nyamhongolo
ujenzi wa barabara buswelu to igoma
Ujenzi wa river banks kama Rhine river huko Frankfurt Kwa km 9
N.KView attachment 2378270
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kashakimbia ...Hana pa kuponeaAna leta tumiradi twa mitaa eti tubarabara twa mita tatu, wakatati watu wanamiradi ya barabara zaidi ya 15km![]()
Ziko wapi hizo miradi za km 15? 😁😁Ana leta tumiradi twa mitaa eti tubarabara twa mita tatu, wakatati watu wanamiradi ya barabara zaidi ya 15km🤣🤣🤣
Hizo mita tatu za lami unazopost humu zipo wapo?Ziko wapi hizo miradi za km 15? 😁😁
We tulia miradi ya tactic ianze tuone wapi watafidika zaidi na hii miradi, nyie endeleeni kupewa mita kadhaa sisi tukiwaza too far juu ya miradi mikubwa, hapo mlipo sisi tulishatoka miaka 20 iliyopita😅😅😅Ziko wapi hizo miradi za km 15? 😁😁
Kwa kweli mbeya wanatia huruma ..imagine hapa ni mjini ...e..We tulia miradi ya tactic ianze tuone wapi watafidika zaidi na hii miradi, nyie endeleeni kupewa mita kadhaa sisi tukiwaza too far juu ya miradi mikubwa, hapo mlipo sisi tulishatoka miaka 20 iliyopita![]()



Umemchapa na kitu kizitoKwa kweli mbeya wanatia huruma ..imagine hapa ni mjini ...e..View attachment 2378287
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app



Songwe ni Mbeya...?! hata hivyo Airport ya huko haina Flight nyingi kama ya Mwanza...Mbeya kumetengwa.
Wakati airport ya Mwanza ikijengwa chini ya kiwango,Songwe airport inazidi kupata hadhi stahiki![]()