Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..

Hapo Mwanza hata pawe diversified kiasi Gani ila ukweli ni kwamba huko tuendako mtakalishwa tuu..

Mwanza na Kilimo wapi na wapi na eneo mnalo dogo? Misitu hamna,madini ni dhahabu tuu hapo Sengerema..

Fanyeni ku enjoy saizi ila nitahesabu Miaka 20 kuanzia 2026 nione kama Mwanza na Lake Zone yote hamfunikwi na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini by 2046 tukiwa hai.
....mpaka 2046 mwanza si ishakuwa nchi nyingine kabisa ....
Unapofanya future projection lazima uzingatie vitu vitatu.. sustainability, strategies na potentiality..ukitaka kuelewa hayo maneno nenda shule ukasome kwanza....
Kaangalie leading exporter wa mazao haya ndo uje usemee mwanza na kilimo wapi na wapi
pamba,dengu,choroko ,
Unasema geita ukitoa GGM inabaki na nini inanbaki na hvi
Wilaya zote Zina migodi ya dhahabu
kilimo Cha mpunga na matunda
Uvuvi wa samaki
Misitu
Utalii wa hifadhi za taifa
Transportation corridor ya maziwa makuu
biashara mji wa katoro toka Uganda

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
nilijuaga songwe ni international airport kumbe ni minor airport nimeona juzi kwenye tovuti ya TAA .ndo nilikuwa amazed international airport Gani haina hata flight za kwenye jirani hapo lilongwe.au bas hata ATCL ikawa na flight za Kila siku .hamna kitu ,,, flight zake ni sawa na za bukoba airport

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hii ndio Mbeya usiyopenda kuionesha 😆😆..

Sweet home Green City 👇
 
Attachments

  • mbeya-13-950x534.jpg
    mbeya-13-950x534.jpg
    38.6 KB · Views: 9
  • mbeya-16-950x534.jpg
    mbeya-16-950x534.jpg
    32.6 KB · Views: 9
  • 800px-Mbeya_Tanzania.jpg
    800px-Mbeya_Tanzania.jpg
    79.9 KB · Views: 8
  • Mbeya city.jpg
    Mbeya city.jpg
    30.3 KB · Views: 8
  • 1686207111210218141315019345917_13.jpg
    1686207111210218141315019345917_13.jpg
    86.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221009-100546.png
    Screenshot_20221009-100546.png
    253.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221009-100557.png
    Screenshot_20221009-100557.png
    204.6 KB · Views: 8
....mpaka 2046 mwanza si ishakuwa nchi nyingine kabisa ....
Unapofanya future projection lazima uzingatie vitu vitatu.. sustainability, strategies na potentiality..ukitaka kuelewa hayo maneno nenda shule ukasome kwanza....
Kaangalie leading exporter wa mazao haya ndo uje usemee mwanza na kilimo wapi na wapi
pamba,dengu,choroko ,
Unasema geita ukitoa GGM inabaki na nini inanbaki na hvi
Wilaya zote Zina migodi ya dhahabu
kilimo Cha mpunga na matunda
Uvuvi wa samaki
Misitu
Utalii wa hifadhi za taifa
Transportation corridor ya maziwa makuu
biashara mji wa katoro toka Uganda

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Serikali itakapopiga Marufuku matumizi ya mkaa wa Kuni na kutumia madini haya ya makaa ya Mawe kuwa nishati yanatosha kubadili GDP ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini on the spot kabla ya kugusa untapped iddle resources zingine 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221009-103414.png
    Screenshot_20221009-103414.png
    96.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221009-103649.png
    Screenshot_20221009-103649.png
    139.5 KB · Views: 7
Another Commercial town in the Making..

Ifakara 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221008-153645.png
    Screenshot_20221008-153645.png
    183.2 KB · Views: 8
Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..

Hapo Mwanza hata pawe diversified kiasi Gani ila ukweli ni kwamba huko tuendako mtakalishwa tuu..

Mwanza na Kilimo wapi na wapi na eneo mnalo dogo? Misitu hamna,madini ni dhahabu tuu hapo Sengerema..

Fanyeni ku enjoy saizi ila nitahesabu Miaka 20 kuanzia 2026 nione kama Mwanza na Lake Zone yote hamfunikwi na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini by 2046 tukiwa hai.
hakuna kitu kama hicho tena Mwanza kabla ya kugawanywa na kutoa Geita iliongoza kwa kila kitu wingi wa watu...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nshomile mmoja...kajisomea na kadegree kake..kaoa..ana kausafiri...na kajenga nyumba yake Safi huko bukoba vijijini...hata kama aishi lakin mama yake yupo na kamuwekea solar incase umeme ukikatika...

Halafu NBS inamuona maskini Kwa sababu serikali ya Kagera ina vyanzo vidogo vya mapato...Kwa sababu haijataks kuwekeza....

NB... serikali ya Kagera ndo maskini sio watu wa Kagera View attachment 2381290
😬😬😬😬 Kagera 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221008-152850.png
    Screenshot_20221008-152850.png
    118.6 KB · Views: 9
Hii itaenda ku push GDP ya Mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini..

Mbeya,Njombe,Ruvuma na Rukwa..

Serikali na STAMICO harakisheni hili.jambo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221007-125401.png
    Screenshot_20221007-125401.png
    226.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221007-125421.png
    Screenshot_20221007-125421.png
    44.9 KB · Views: 8
Serikali inatarajia kujenga maghaala 62 ya Kuhifadhia nafaka yaani Sillos na kati ya hayo 31 yatajengwa Mkoa wa Ruvuma pekee..

Ruvuma iko top 10 ya Mikoa Yenye GDP kubwa sio kwa bahati mbaya..

Sio maneno yangu bali ni ya Bashe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220929-221857.png
    Screenshot_20220929-221857.png
    46.9 KB · Views: 10
Daraja la kigongo busisi likiisha na kuanza kazi mwanza itakuwa kiuchumi sana zaid ya asilimia 30 malori mengi sana yatapita mwanza hapo bado sijazungumzia reli ikiisha na meli ya mv mwanza hapa kazi tu yan kiukweli geographical location ya mwanza inaibeba sana aisee
 
Back
Top Bottom