Sawa..hiv manispaa ndogo kama Bukoba ikipata vyuo vikuu si watu wataongezeka? Sehemu ikishakua na vyuo fursa zitakuwa nyingi eneo hilo...hiv mfano Morogoro ukitoa vyuo kunabaki nini pale...
Halafu acha akili za ajabu..na kukalili..jamii ya wahaya ni moja ya jamii yenye watu wengi wenye kipato cha kati na cha juu nchini...na hii yote sababu ya elimu unayoidharau...
Mkoa wao utaendelea vzr kama Serikali itaendelea kuwekeza kama inavyofanya sasa...
Sasa yale madini ya nickel yakianza kuchimbwa sio mkoa utakuwa top 5 kabisa...
Unasema white collar jobs..
Vip kuhusu hiki chuo kikubwa cha veta nchini...au hujakiona
View attachment 2385435View attachment 2385436View attachment 2385437View attachment 2385438View attachment 2385439View attachment 2385440View attachment 2385441
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app