The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Tofauti hii hapa 👇..hyo ofisi Ina tofauti Gani na high school ya tambaza pale dar es salaam
Tofauti hii hapa 👇..hyo ofisi Ina tofauti Gani na high school ya tambaza pale dar es salaam
Hospital na Ofisi kama Hostel 😁😁😁😁..Hapa ni mapato ya ndani tu ...sio ruzuku na misaada ya wahisani kama huko kwenuView attachment 2383146
Wivu ni kidonda,Hospital na Ofisi kama Hostel..

Mbona jengo la Njombe TC lilijengwa na halimashauri yenyeweWakati kusini mkisubiri ruzuku ndio mjenge miradi yenu huku hatuna huo muda .. mapato ya ndani yanatosheleza Kila kitu ...kahama ni republicView attachment 2383024
UshahidiMbona jengo la Njombe TC lilijengwa na halimashauri yenyewe
Pembeni yake kuna project kubwa zaidi ya hiyo inapanda, wapo kwenye foundationHapa ni mapato ya ndani tu ...sio ruzuku na misaada ya wahisani kama huko kwenuView attachment 2383146
Iko wapi?Pembeni yake kuna project kubwa zaidi ya hiyo inapanda, wapo kwenye foundation
Kitu gani Cha kuonea wivu huko Kahama kila kitu ni hovyo tuu..Wivu ni kidonda,![]()
Sumbawanga MC taa nyingine mpya zitafungwa umbali wa km 15 na Kazi ilishaanza..
Aisee watu wa kusini ni washamba sana ...Kwa hyo TAA zimewapagawishaSumbawanga MC taa nyingine mpya zitafungwa umbali wa km 15 na Kazi ilishaanza..
Mwisho mambo ya taa sio ishu miaka hii Kwa sababu kila Mji hapa Tanzania zinafungwa hadi Vijijini upande wa TanRoads na Tarura maana ni sera ya serikali..
Safisha macho kidogo basi![]()

Na Hawa je 👇Aisee watu wa kusini ni washamba sana ...Kwa hyo TAA zimewapagawisha
wakipata miradi kama hii Hadi wenzao wanakuja kujifunza si watakufa Kwa furahaView attachment 2383191
Njombe 👇Ushahidi
Haters wa Mbeya wanataka Uwanja wa Kimataifa wa Songwe uanze kutumika wakati haujakamilika.
Ujenzi unaendelea![]()


kijengo kama manispaa ya kahama ...na hili je likikamilika Tena hili ni la muda tu wakati wakijiandaa kujenga lingine