Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Moja ya treni la starehe likiwa limesima makambako ambalo linapita almost nchi zote za SADC na hii ndo dhana halisi tunavosema nyanda za juu kusini kumefunguka
FB_IMG_16650293297515112.jpg
34752258555_17642e569f_b.jpg
rovos-rail-tanzania-scenery.jpg
RVR-Map-Thumb-DAR.jpg
map-lobito_1_orig.jpg
 
Unakanyaga nchi zote za SADC sio mumekaribia nchi tatu tu kelele nyingi na hayo Ni mahindi yalikuwa yakipakiliwa makambako kwenda zimbabwe
FB_IMG_16650269341780349.jpg
page_35.jpg
FB_IMG_16650290928154858.jpg
1*2krcfChVOAQ6nMq2ALwRqw.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_16650293941352352.jpg
    FB_IMG_16650293941352352.jpg
    30.5 KB · Views: 13
Weka hapa,video nimekuwekea weka jengo hata moja la ghorofa 4 hapa.
Nenda Google tafuta submarine hotel ina gorofa 5 huwezi kuiona kwa hizo video ulizoweka kwa sababu kila mchukua video huwa na interest zake kwani hotel hio iko pembeni na mji sio rahisi kupata video yake kwa hao wanaochukua picha barabarani
 
We tulia miradi ya tactic ianze tuone wapi watafidika zaidi na hii miradi, nyie endeleeni kupewa mita kadhaa sisi tukiwaza too far juu ya miradi mikubwa, hapo mlipo sisi tulishatoka miaka 20 iliyopita😅😅😅
Ona ulivyo kiazi,Tactic iko Nchi nzima sasa sijui unawezaje kusema mtafairika zaidi..

Ukiacha hiyo miradi niliyotaja hapo juu kuna Tactic na Kuna Miradi barabara za TanRoads sasa Kwa haraka haraka unadhani wapi watafaidika zaidi Kati ya Mbeya na Mwanza?
 
Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo? 😆😆😆😆..

Nimeamini Kusini Kumetengwa 😂😂..

Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221008-151927.png
    Screenshot_20221008-151927.png
    110.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-114513.png
    Screenshot_20220925-114513.png
    69 KB · Views: 11
Wakati Mwanza mkinywa maji yenye Kanda,vinyesi vya Binadamu na wanyama sie huku Rukwa ni uhakika 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221004-162544.png
    Screenshot_20221004-162544.png
    145.7 KB · Views: 9
Nyanda za Juu ni moto wa kuotea mbali..

Tunakimbiza kwenye sekta zote kuanzia utalii,misitu,kilimo Hadi madini 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220927-195157.png
    Screenshot_20220927-195157.png
    46.5 KB · Views: 9
Tunaongelea uwanja wa Ndege kwanza, mbona unatuhamisha????
Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo? 😆😆😆😆..

Nimeamini Kusini Kumetengwa 😂😂..

Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu 👇
 
Tunaongelea uwanja wa Ndege kwanza, mbina unatuhamisha????
nilijuaga songwe ni international airport kumbe ni minor airport nimeona juzi kwenye tovuti ya TAA .ndo nilikuwa amazed international airport Gani haina hata flight za kwenye jirani hapo lilongwe.au bas hata ATCL ikawa na flight za Kila siku .hamna kitu ,,, flight zake ni sawa na za bukoba airport

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana..Unataka international flight kabla ya kukidhi vigezo na kupata certification zinazotakiwa?

Songwe International Airport imekuwa ikididimizwa miaka mingi toka Alivyoondoka Mwandosya..

Kwa sasa tunategemea ipewe clearance ya ndege za Kimataifa baada ya kufungwa taa ,rader,kuletwa vifaa vya Zima moto na uokozi,kukamilishwa kwa njia za kurukia ndege nk..

Na kwa taarifa yako huu utakuwa uwanja maalumu kwa ajili ya ndege za mizigo so just wait mda utasema.
 
Unachekesha sanaaa, tayari ndege mpya ya mizigo B767 Frighter kituo chake kikuu itakuwa ni KIA kwa mujibu wa wazara ya miundo mbinu na usafirishaji, yaani huko msubiri mpaka sugu awe Raisi.
 
nilijuaga songwe ni international airport kumbe ni minor airport nimeona juzi kwenye tovuti ya TAA .ndo nilikuwa amazed international airport Gani haina hata flight za kwenye jirani hapo lilongwe.au bas hata ATCL ikawa na flight za Kila siku .hamna kitu ,,, flight zake ni sawa na za bukoba airport

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Usilinganishe Bukoba airport na sijui songwe ni mbingu na ardhi..
Kuanzia kwenye Airport terminal,abiria na idadi ya flights...

Dhuluma Tu za magu kujenga chato... bukoba kulipaswa kuwepo kajunguti international airport kama ilivyopangwa toka zamani..
 
Back
Top Bottom