Sunk cost Fallacy huwa unajihangaisha tu! Yaani mbeya yako hata mtoto mdogo anakukatalia haina hadhi ya Mwanza hata nusu! Kwa watu wa Mbeya pia hawawezi kuifikia hardworking ya watu wa kanda ya ziwa!
Location pia ya mwanza ni potential kwa investment kuja kuliko huko Mbeya!
Yaani Mbeya hadi sasa stend ni kama ya daladala hapo mwanjelwa ni maduka ya kawaida tu na soko mzunguko wake mdogo!
Ukielekea barabara ya kwenda Mbalizi-tunduma majumba takribani yote ni tope hakuna mpangilia wala ujenzi wa kuvutia kama vituo vya mafuta na kadharika!
Kwa ujumla huyu bwana anachuki tu na mwanza na kwa taarifa yake huku kanda ya ziwa kila kijiji na miji watu wanajenga sana!
Kama kipindi cha nyuma hususani wasukuma walikiwa hawajengi nyumba bado hamkuwapita kwa lolote je kwa sasa mtaweza?
Usiumize roho bwana Sunk mwanza haizuiriki kutokana na watu wake kutotegemea Mbeleko ya serkali hata siku moja!