Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Sio tu kisesa na Usagara,, nyashishi, isangijo,fela zote ni mwanza jijiniLini Mbalizi ni Mbeya Mjini? Usagara au Kisesa ni Mwanza Mjini?
Sio tu kisesa na Usagara,, nyashishi, isangijo,fela zote ni mwanza jijiniLini Mbalizi ni Mbeya Mjini? Usagara au Kisesa ni Mwanza Mjini?
Kahama Ina suburbs nzuri,na modern kuliko mbeya ,,,Amin ...mbeya ni kuchafu na hamna hta mmoja wenye unafuuMmeikataa mbalizi..hii hapa ya mbeya mjini kabisa [emoji16][emoji16]View attachment 2360309
Akili huna,nikikwambia leta ramani ya Jiji la Mwanza plus Ilemela itahusisha hayo maeneo?Sio tu kisesa na Usagara,, nyashishi, isangijo,fela zote ni mwanza jijini
Uko zoom hizo picha ni nzuri Sana kuliko huku mnakofanya slum tourism 😆😆Mmeikataa mbalizi..hii hapa ya mbeya mjini kabisa [emoji16][emoji16]View attachment 2360309
Hii inaonyesha namna gani uwezo wa kufikiri uko chini ..... samaki zinaliwa Hadi Amsterdam,kote nchi nzima ,,,hizo conspiracy theory za kumezeshwa na makamu wako zinaonyesha namna uwezo wako wa kufikiri uko limitedMaji ya maiti yamewasababishia mtindio wa ubongo,wasamehe bure sio wao ni Kansa [emoji116]
Au nikuletee [emoji14][emoji14]Akili huna,nikikwambia leta ramani ya Jiji la Mwanza plus Ilemela itahusisha hayo maeneo?
Kima wa Saanane.
Za Amsterdam zinapitia safety test Mzee ndio maana kila uchafu una make headlines kuanzia kula mapanki hadi maji ya maiti 😜😜Hii inaonyesha namna gani uwezo wa kufikiri uko chini ..... samaki zinaliwa Hadi Amsterdam,kote nchi nzima ,,,hizo conspiracy theory za kumezeshwa na makamu wako zinaonyesha namna uwezo wako wa kufikiri uko limited
Weka hapa acha hadithiAu nikuletee [emoji14][emoji14]
Kisesa ziko kwenye mwanza metropolitan area ...na ndio maana tuko kwenye final stage ya kupitisha manispaa ya kisesa ..Weka hapa acha hadithi
Kisesa and ilemela [emoji116]Kisesa ziko kwenye mwanza metropolitan area ...na ndio maana tuko kwenye final stage ya kupitisha manispaa ya kisesa ..
Daladala za mwanza zinaunganisha route zake kati ya Usagara na kisesa kupitia city center...picha ya kwanza ni daladala.picha ya pili makazi ya wilaya ya ilemela,yalivyoungana na kisesa nyuma ya stendi ...[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2360335
View attachment 2360340
Umeanza blaa blaa za metropolitan 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆..Kisesa ziko kwenye mwanza metropolitan area ...na ndio maana tuko kwenye final stage ya kupitisha manispaa ya kisesa ..
Daladala za mwanza zinaunganisha route zake kati ya Usagara na kisesa kupitia city center...picha ya kwanza ni daladala.picha ya pili makazi ya wilaya ya ilemela,yalivyoungana na kisesa nyuma ya stendi ...[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2360335
Excuse will not put you in a safe route [emoji14][emoji16][emoji16]Iwambi sio mbeya[emoji116]Umeanza blaa blaa za metropolitan [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]..
Tunakubaliana sasa hayo maeneo sio sehemu ya Jiji la Mwanza na Ilemela ndivyo ilivyo kwa Mbalizi ,Songwe Hadi kule Inyala Mzee..
Ila ukitaka iwe metropolitan Wala hakuna shida .
Unajua maana ya metropolitan bas[emoji16]Umeanza blaa blaa za metropolitan [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]..
Tunakubaliana sasa hayo maeneo sio sehemu ya Jiji la Mwanza na Ilemela ndivyo ilivyo kwa Mbalizi ,Songwe Hadi kule Inyala Mzee..
Ila ukitaka iwe metropolitan Wala hakuna shida .
Sijui unajua wewe..Unajua maana ya metropolitan bas[emoji16]
Nimewahi kusema.mara nyingi na narudia kwamba Mbeya ina hospital nyingi kuliko Mwanza..Excuse will not put you in a safe route [emoji14][emoji16][emoji16]Iwambi sio mbeya[emoji116]View attachment 2360347
Mtu anauetumia bando Kwa msaada wa vpn ..ana matatizo yakeNimewahi kusema.mara nyingi na narudia kwamba Mbeya ina hospital nyingi kuliko Mwanza..
Uwata hospital Ivumwe [emoji116][emoji116]