The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ushabakiza mabus tuSoko la Mbeya ni tamu Sana,watazidi kujazana![]()
Abood ameamua apeleke bus zake Bukoba?Abood hiyooo na chuma mpya na route Mpya..Kahama hakuna wateja
Dar-Moro-Njombe.
Dar-Moro-BK![]()
Nje ya mada kidogo,naomba nikuulize,kati ya tunduma na mafinga ni mji gani mkubwa kwa eneo,wingi wa watu na upi una fursa nyingi kiuchumi?Route dume wazee wa paso ndefu![]()
TundumaNje ya mada kidogo,naomba nikuulize,kati ya tunduma na mafinga ni mji gani mkubwa kwa eneo,wingi wa watu na upi una fursa nyingi kiuchumi?
Huko mtaletewa magarasa,mpya zitaenda Njombe route fupi,huwa hataki shida..Abood ameamua apeleke bus zake Bukoba?
Hasilete chakavu chakavu kama zile zake za mwanza...
Halafu ukisikia bus ya bukoba hujue zitapita kahama tu..
Nje ya mada kidogo,naomba nikuulize,kati ya tunduma na mafinga ni mji gani mkubwa kwa eneo,wingi wa watu na upi una fursa nyingi kiuchumi?
Kama hutojali naomba unipe sababu mkuu kuna namna zitanisaidia,yani fursa gani unaziona tunduma dhidi ya mafingaTunduma, hilo halina ubishi. Nimemjibia bila kuwa biased!
Kama hutojali naomba sababu za jibu lako ni fursa zipi inazo tunduma dhidi ya mafingaTunduma
Mkuu wewe ni mwenyeji wa wapi? Una uhakika kuwa mbalizi ni mbeya mjini?Hii ndo green city tunayoambiwa Kila siku..si bora hata singida Pako green...mji ni vumbi uswahili mtupu ...
Aisee mbeya mna suburbs mbaya kuliko majiji yote ...
MbaliziView attachment 2359866View attachment 2359867View attachment 2359868View attachment 2359870
Yaani jamaa kila mji anaujua, waache aje hapa. Kwanza alikuwa Njombe akaenda Arusha akarudi Mbeya nasikia siku hizi anaishi DomMkuu wewe ni mwenyeji wa wapi? Una uhakika kuwa mbalizi ni mbeya mjini?
Kwa hiyo umechagua pale pabaya unapopenda wewe Ili kuja kuwadanganya mazuzu wenzio si ndio? ๐๐๐๐..Hii ndo green city tunayoambiwa Kila siku..si bora hata singida Pako green...mji ni vumbi uswahili mtupu ...
Aisee mbeya mna suburbs mbaya kuliko majiji yote ...
MbaliziView attachment 2359866View attachment 2359867View attachment 2359868View attachment 2359870
Fursa zilizopo ni zile zile kama za Mafinga ila kilichoongezeka huku ni biashara ya mpakani na biashara zinazohusiana na transit kama migahawa,malazi na maduka makubwa ya jumla ya kuwauzia watu wa Zambia...Kama hutojali naomba unipe sababu mkuu kuna namna zitanisaidia,yani fursa gani unaziona tunduma dhidi ya mafinga