Kwa hiyo ukitafitiza kajumba unakuja kutulingishia au?
Siku hizi Bukoba imekumbukwa mno...hadi taa mbovu zimetengenezwa...mji mzima unawaka...Kwa hiyo ukitafitiza kajumba unakuja kutulingishia au?
Kusini hiyo kwao ni hotel kali wakati bukoba ni nyumba za makazi


Kiuhalisia ukiacha takwimu za serikali ...bukoba watu wana majumba na majumba hasa vijijini..Kusini hiyo kwao ni hotel kali wakati bukoba ni nyumba za makazi![]()
Naona mavumbi na vichaka tuu hapo sijui ni makazi ya magemu au? 😃😃Tuendelee kuushangaa huyu mkoa maskini kadri ya Serikali...
Kyerwa Kagera km 190 kutoka bukoba mjiniView attachment 2361930View attachment 2361931View attachment 2361932View attachment 2361934
Hakuna kitu kipi huko Bukoba kikakosa kuwepo Sumbawanga..Definition ya municipality...sio magulio yenu ya huko kusini...
Bukoba municipality at nightView attachment 2361936
Barabara za Mitaani huko Sumbawanga nyakati za Usiku 👇Barabara za mitaani huko Bukoba...
Huu ni mtaa wa bukango kata Nshambya View attachment 2361685View attachment 2361686
Naona mavumbi na vichaka tuu hapo sijui ni makazi ya magemu au? 😃😃
Hoya lofa unaandika kwa hisia sana eti barabara za mitaa za huko sumbawanga, wakati nikiangalia picha naona barabara moja kwenye mtaa moja na kisehemu kidogo kimoja kisichozidi mita ishirini, ushamba na chuki vitakumaliza bwege wewe.Barabara za Mitaani huko Sumbawanga nyakati za Usiku 👇
Kuna nyumba za watu kweli hapo me naoga giza na vichaka vya watu pembeni ya hiyo barabara.Barabara za Mitaani huko Sumbawanga nyakati za Usiku 👇
Muwe mnatembea na maeneo mengine ya nchi sio kukaa ndani tu kama utumbo mala kashai kibeta kitendaguro kahororo.ihungo nyakanyasi ghana sasa miji mingine mtaijuaje?Kumbe mbeya Kwa bukoba haitoboi ..na lile vumbi sasa![]()
Na hili ndo tatizo mtu kajifungia ukanda mmoja anajua yanayo fanyika hko kwingine hayafanyiki kumbe mambo yarisha badilika muda mrefu na Kuna miji michanga imekuwa zaidi ya miji mikongweMuwe mnatembea na maeneo mengine ya nchi sio kukaa ndani tu kama utumbo mala kashai kibeta kitendaguro kahororo.ihungo nyakanyasi ghana sasa miji mingine mtaijuaje?
Tule pozi tuone na wawekezaji wanasemaje
View attachment 2362218View attachment 2362219View attachment 2362220


,,,,,,,aisee unatia aibu