instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Unafikiri kuna mtu wa Bukoba atapanda gari mbovu mbovuHuko mtaletewa magarasa,mpya zitaenda Njombe route fupi,huwa hataki shida..
Anakimbia SGR Effect ila angekuwa na akili angeweka route ya Mbeya-Kahama,Mbeya-Musoma via Lamadi na Sumbawanga to Dodoma..
SGR italeta mabus mapya mengi Sana Mkoani.
...Dar lux sijui aliendaga wap...
Dar Bukoba kuna mabusi kibao tu na yanazidi kuongezeka na Kuna abiria wengi bila kuhesabu wale wanaopitia mwanza na kupanda meli hadi Bukoba...
Bila kusahau na abiria wengi wa ndege...imagine Bukoba ina abiria wengi wa ndege kuliko Dodoma na sio makao makuu wala mji mkubwa kivile..









