Shell now katoro ni kila sehemuYani kwa idadi ya magari TAZAM road inaongoza na kwa Sasa ndo yameongezeka zaidi na yameleta fursa mpya ambayo imepelekea watu kuwekeza zaidi kwenye shell. Na hotel anzia ruaha mbuyuni iringa Hadi tunduma angalia sheli ngap zinajengwa na makaz yameungana watu wametumia fursa
View attachment 2336029View attachment 2336030View attachment 2336039View attachment 2336040View attachment 2336043
Acha kujifungia Kanda ya ziwa tu tembea ndo utaajua Nini tunacho kwambia katoro sawa na ilembula ,igawa nkShell now katoro ni kila sehemu
HahahaFrusa za kiuchumi Katoro zinafunguka sana
Sasa ipitwe Mara NGAPI .ishapitwa muda sana ...mbeya ni level moja na morogoro,hukoInaonekana Mbeya soon itapitwa na Dodoma. Mbeya siyo Jiji kwa kweli
Kuna mandhari,wewe ulitaka kuwe na nini cha ziada?Hahahahh! Asaa ap0 kuna nini cha ziada, nimeona mashimo na madimbwi ya kuzalia mbu
Haiwezi kutokea,hiyo Ilemela yako itashindana na Njombe,Tunduma na MafingaSio mji mzuri kivileee, na term hii mapato mtashindana na Ilemela manispaa
Leta basi wewe video inayoonesha Mbeya Jiji yote unayoaaminiaWe kenge acha ujinga,hiyo video inaonyesha sehemu ndogo Sana ya Jiji la Mbeya yaani hapo Mwanjelwa na Mafiati tuu..
Mwisho Mbeya ni kama Dar ina CBD 2 za Mwanjelwa na Sokomatola/Uhindini..
Naona uswazi tuu hapo π€£π€£Tanzania..majiji yenye mandhari ni matatu tu .. mwanza, Arusha,na dar ...
View attachment 2335857View attachment 2335858View attachment 2335860View attachment 2335861View attachment 2335862View attachment 2335864View attachment 2335865View attachment 2335866View attachment 2335867View attachment 2335869View attachment 2335870View attachment 2335871
Vituo vya mafuta almaarufu filling stations sio sheli π¬π¬Yani kwa idadi ya magari TAZAM road inaongoza na kwa Sasa ndo yameongezeka zaidi na yameleta fursa mpya ambayo imepelekea watu kuwekeza zaidi kwenye shell. Na hotel anzia ruaha mbuyuni iringa Hadi tunduma angalia sheli ngap zinajengwa na makaz yameungana watu wametumia fursa
View attachment 2336029View attachment 2336030View attachment 2336039View attachment 2336040View attachment 2336043
Ngoja niitafuteLeta basi wewe video inayoonesha Mbeya Jiji yote unayoaaminia
Labda udsm ya katereroππHata UDSM wanajenga tawi lao huko Bukoba vijijini karibu na mji wa Bukoba...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nimekwambia international agricultural exhibition inakuja,wewe unaleta maonyesho ya wavuvi na dagaa π€£π€£ π€£Kule wenzenu walikotoka ndio mwaelekea ..
Hicho ni kijiji hakiwezi kuingia hata Kwa Igawa..Frusa za kiuchumi Katoro zinafunguka sana
Picha ndio zinaongea sio porojo ππShell now katoro ni kila sehemu
Ukishadai picha huwezi kuwaona hapa ila kupepesa Domo sasa πππHi Ni igwachanya leta hata pic moja ya katoro
View attachment 2336077View attachment 2336079View attachment 2336080
Toka tumeanza Uzi nilikwambia leta jengo la ghorofa 4 umeshindwa unakuja kulia lia na takataka hapa..Asaa kwani Njombe ina nn kuzidi Katoro Hosp au Ofisi za mkoa?
Haiwezi kutokea,hiyo Ilemela yako itashindana na Njombe,Tunduma na Mafinga
Ukiona Daudi na Goliati wanawekwa kwenye mizania sawa basi ujue Goliati kisha chujuka. Njombe ni mkoa, Kahamani makao makuu ya mkoa wa Shinyanga wakati Mafinga ni makao makuu ya wilaya ya Mufindi. Kwa mantiki hii Mafinga unakua kwa kasi na huo ndiyo ukweli. Mji wa Iringa ulianzishwa mwaka 1892 na Wajerumani kama strategic point ya kutwangana na Wahehe. Mahala ulipo mji huu hauwezi kupanuka kwa sababu za kijiografia.Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?