Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Huu uchafuNarudia rudia picha
Nyumba za staff wa hospital![]()

Huu uchafuNarudia rudia picha
Nyumba za staff wa hospital![]()

uliyekuwa unatak video...hyo hapo shy townWivu.
Tuwekee usafi kutoka Kahama kwa manamba
uliyekuwa unatak video...hyo hapo shy town
Baada ya miaka 12 mnaachiwa mashimo kama kawaida yenu 😂😂😂😂Yaani ...Kwa Hali hii .Samia ataishia kuzindua wodi tu huko kwenu.ila project Kali zitabaki hukuView attachment 2315620View attachment 2315621View attachment 2315622View attachment 2315623View attachment 2315625
Hii ni render,leta actual progress
Wivu tu huna kingine🤣🤣🤣Hii ni render,leta actual progress
Leta hapa actual progress sio hayo makaratasi ya kusadikikaWivu tu huna kingine🤣🤣🤣
We unavyoleta screen shot zako za maneno ya wanasiasa huwa unaulizwa?Leta hapa actual progress sio hayo makaratasi ya kusadikika
Kama ipi?We unavyoleta screen shot zako za maneno ya wanasiasa huwa unaulizwa?
😂😂😂😂 una matatizo sana mkuu sitaki kurejea lakini muda si mrefu utayatuma tena mascreen shot yako, nitakukumbusha tu na muda utasema.Kama ipi?
Haya ndio madhara ya kuropoka bila kuleta ushahidi 😂😂😂😂😂😂 una matatizo sana mkuu sitaki kurejea lakini muda si mrefu utayatuma tena mascreen shot yako, nitakukumbusha tu na muda utasema.
Unakuja mwanza ,ujionee uzuri wake . ...maana ulikuwa inategemea google ..Baada ya kuona hii video ya Kahama nimekata tamaa na kuidharau Sana hiyo Kahama..
Nilikuwa na ratiba ya Kwenda Mwanza kupitia Kahama ila kiukweli nimekatishwa tamaa na jinsi ni mbaya na hakuna hata kitu cha kwenda kuona ukilinganishwa na kelele zinazopigwa humu..
Imagine inayoitwa Manispaa yaani kupata majengo mazuri Mji mzima yako 2 tuu,la Nssf na hilo la mjini hapo..
Kwa Hali hii,huko Kanda ya Ziwa sehemu nzuri na inayopendeza ni Bukoba tuu na huko nitaenda kutembea,kidogo na Musoma na Mwanza.
Mji umejaa mavumbi,uko disorganized,full mabodaboda na mabakeli,barabara mbaya,mitaro michafu,vijumba vya watu vibaya na upuuzi mwingine kama vile ni gulio la mda, yaani no order at all..
Mtu anaweza sema ni wivu hebu angalieni hizi video afu fananisha.
Ukisikia wasimuliaji unaweza dhani ni Bonge la Mji,ona Kahama ilivyo![]()
Una chuki na kahama sio Siri ...Baada ya kuona hii video ya Kahama nimekata tamaa na kuidharau Sana hiyo Kahama..
Nilikuwa na ratiba ya Kwenda Mwanza kupitia Kahama ila kiukweli nimekatishwa tamaa na jinsi ni mbaya na hakuna hata kitu cha kwenda kuona ukilinganishwa na kelele zinazopigwa humu..
Imagine inayoitwa Manispaa yaani kupata majengo mazuri Mji mzima yako 2 tuu,la Nssf na hilo la mjini hapo..
Kwa Hali hii,huko Kanda ya Ziwa sehemu nzuri na inayopendeza ni Bukoba tuu na huko nitaenda kutembea,kidogo na Musoma na Mwanza.
Mji umejaa mavumbi,uko disorganized,full mabodaboda na mabakeli,barabara mbaya,mitaro michafu,vijumba vya watu vibaya na upuuzi mwingine kama vile ni gulio la mda, yaani no order at all..
Mtu anaweza sema ni wivu hebu angalieni hizi video afu fananisha.
Ukisikia wasimuliaji unaweza dhani ni Bonge la Mji,ona Kahama ilivyo![]()
Mwanza naifahamu na nimesoma huko na nakuja kwa sababu maalumu ila nilipanga kuja daraja likikamilika maana ndio structure pekee ya kunifanya nishangae..Unakuja mwanza ,ujionee uzuri wake . ...maana ulikuwa inategemea google ..
🤣🤣🤣🤣 Wewe una shida,kwa hiyo Kahama hiyo wewe unaona ni nzuri? Kwa lipi hebu tueleze maana video tumeweka hapo au tuletee video yako wewe.Una chuki na kahama sio Siri ...
Sunk kama sunk popoma mkubwa, yaani wewe wakuilinganisha kahama na kijiji cha ujamaa cha njombe hakika umepotoka mkuu, hilo pepo la chuki litoke kwa jina la yesu.Baada ya kuona hii video ya Kahama nimekata tamaa na kuidharau Sana hiyo Kahama..
Nilikuwa na ratiba ya Kwenda Mwanza kupitia Kahama ila kiukweli nimekatishwa tamaa na jinsi ni mbaya na hakuna hata kitu cha kwenda kuona ukilinganishwa na kelele zinazopigwa humu..
Imagine inayoitwa Manispaa yaani kupata majengo mazuri Mji mzima yako 2 tuu,la Nssf na hilo la mjini hapo..
Kwa Hali hii,huko Kanda ya Ziwa sehemu nzuri na inayopendeza ni Bukoba tuu na huko nitaenda kutembea,kidogo na Musoma na Mwanza.
Mji umejaa mavumbi,uko disorganized,full mabodaboda na mabakeli,barabara mbaya,mitaro michafu,vijumba vya watu vibaya na upuuzi mwingine kama vile ni gulio la mda, yaani no order at all..
Mtu anaweza sema ni wivu hebu angalieni hizi video afu fananisha.
Ukisikia wasimuliaji unaweza dhani ni Bonge la Mji,ona Kahama ilivyo👇