Ukiangalia hapa top 4 yote ni nyanda za juu ...na kati ya 10 .,mikoa 5 ni nyanda za juuSiku mkitoka kwenye hii list,,,,mnaalikwa kubishana na kahama.ila sasa ongezeni lishe na mwondoe udumavu...ndo maana akili zenu haziko sawaView attachment 2324873
Top 10 ya Bank kubwa Tz haipoKama sio ya kusema ila ni ya kufanya nini?
Njombe kwenye vitu vya kijinga wanaongoza tuUkiangalia hapa top 4 yote ni nyanda za juu ...na kati ya 10 .,mikoa 5 ni nyanda za juu


. Bado takwimu za TACAIDs 


Njombe ni aibu tupu ....yaani vibarabara vinavyojengwa sa hv ndo vinawapa nguvu ya kujiona above...kahama sijapata wasaa wa kupiga picha fresh.na baadhi ya maeneo wanazuia kupiga picha..Njombe kwenye vitu vya kijinga wanaongoza tu. Bado takwimu za TACAIDs
![]()
Na pembeni yake kuna sheli inapanda ghorofa moja, yaani ni shida. Bado opposite Stand ipo kwenye mradi wa TACTIC mwezi wa tisa ujenzi unaweza anza.Njombe ni aibu tupu ....yaani vibarabara vinavyojengwa sa hv ndo vinawapa nguvu ya kujiona above...kahama sijapata wasaa wa kupiga picha fresh.na baadhi ya maeneo wanazuia kupiga picha..
Kuna hotel inajengwa phantom opp na the magic ..Ile hotel ni balaa ,,itakuwa rated 3 star au 4 star.. nitajitahidi nipate picha yake niilete.

Na pembeni yake kuna sheli inapanda ghorofa moja, yaani ni shida. Bado opposite Stand ipo kwenye mradi wa TACTIC mwezi wa tisa ujenzi unaweza anza.
Kwa sasa nipo Arusha huku Njiro kuna mitaa ya ovyo sana bora hata Majengo Sokola yetu na Nyihogo![]()




Kumbe unapafahamu...wew umenena mkuu... huwezi shindanisha wilaya iliyokuwa yenyew na kuwa manispaa bila kuwa makao makuu ya mkoaNa pembeni yake kuna sheli inapanda ghorofa moja, yaani ni shida. Bado opposite Stand ipo kwenye mradi wa TACTIC mwezi wa tisa ujenzi unaweza anza.
Kwa sasa nipo Arusha huku Njiro kuna mitaa ya ovyo sana bora hata Majengo Sokola yetu na Nyihogo![]()
Nimefanya kazi bank moja hapo Isaka Road, naujua mji vizuri tu.Kumbe unapafahamu...wew umenena mkuu... huwezi shindanisha wilaya iliyokuwa yenyew na kuwa manispaa bila kuwa makao makuu ya mkoa
Jitaidi mkuu upate hizo picha ili huyu popoma tusimuone tena kwenye huu uzi kama alivyoahidi.kesho nisikuone humu dadek zako
Kwa taarifa yakonaenda kukuletea majengo haya kesho ,,camera man Yuko on job
machali tower 6 floor
Igalilimi new tower 5 floor
The planet hotel 4 floor
Hotel river mark 4 floor
NSSSF 6 floor
Phantom new hotel .under construction 7 floor
Mongo house 4 floor.....
Noted bro....Jitaidi mkuu upate hizo picha ili huyu popoma tusimuone tena kwenye huu uzi kama alivyoahidi.
Kuna Kahama tofauti na hiyo kwenye video?😁😁Njombe ni aibu tupu ....yaani vibarabara vinavyojengwa sa hv ndo vinawapa nguvu ya kujiona above...kahama sijapata wasaa wa kupiga picha fresh.na baadhi ya maeneo wanazuia kupiga picha..
Kuna hotel inajengwa phantom opp na the magic ..Ile hotel ni balaa ,,itakuwa rated 3 star au 4 star.. nitajitahidi nipate picha yake niilete.
Uko tofauti na ule wa kwenye video hapo? 😬😬Nimefanya kazi bank moja hapo Isaka Road, naujua mji vizuri tu.
Excuses as usual 😆😆😆😆Kumbe unapafahamu...wew umenena mkuu... huwezi shindanisha wilaya iliyokuwa yenyew na kuwa manispaa bila kuwa makao makuu ya mkoa
Nimekwambia sheli za ghorofa Njombe tulishatoka huko na picha nimeweka nyie ndio mnahangaika now 😜😜😜😜..Na pembeni yake kuna sheli inapanda ghorofa moja, yaani ni shida. Bado opposite Stand ipo kwenye mradi wa TACTIC mwezi wa tisa ujenzi unaweza anza.
Kwa sasa nipo Arusha huku Njiro kuna mitaa ya ovyo sana bora hata Majengo Sokola yetu na Nyihogo![]()
Jibu ni banki au sio banki,kwani kanisa kuwa mmiliki kuna shida?Benk ya kanisa anaileta hapa....
Si bora hii ni rahisi sana kutoka kuliko kwenye Kansa?Siku mkitoka kwenye hii list,,,,mnaalikwa kubishana na kahama.ila sasa ongezeni lishe na mwondoe udumavu...ndo maana akili zenu haziko sawaView attachment 2324873