Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Mmechelewa sana aisee..wenzenu mwanza wana route ya Mara nne Kwa siku nyie ndo Mara tatu Kwa wiki



tena washukuru nane.
Mmechelewa sana aisee..wenzenu mwanza wana route ya Mara nne Kwa siku nyie ndo Mara tatu Kwa wiki



tena washukuru nane.Alaaa kumbe 👇tena washukuru nane.
Unarudia rudiaRais anaogopa mavumbi ndio maana haendi Mbeya.
cc sexer,instanbul na Wafuasi wao![]()
Project kama hii huwezi pata popote Tanzania.isipokuwa lake zoneWakati mkisubiri Samia aje azindue maonesho ...huku uchumi unajengwa ..mnashangaa kwanni still GDP tunafanya vizuri kuliko huko ..kumbe mmkalia kilimo Cha viazi.View attachment 2314421View attachment 2314422View attachment 2314423
NB.sio billion 34 ni trillion 34..tarifa ya BOT hyoView attachment 2314462View attachment 2314463
Mbeya 👇Project kama hii huwezi pata popote Tanzania.isipokuwa lake zone
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Uko sahihi Mkuu,Njombe ni ♨️🔥♨️🔥.Acha kuifananisha njombe na vitu vya kijinga
Uko sahihi Mkuu,Njombe ni ♨️🔥♨️🔥.
Cheki video hii hapa 👇