Na bukoba mara mbili kwa siku...just imagine kila siku kwa mji kama bukoba..Duh. Mbeya hakuna wafanyabiashara wakubwa. Ndege mara 4 kwa wiki. Wakati Mwanza mara 4 kwa siku na Kahama mara 3 kwa wiki
Mabasi ya dar Mwanza ni mengi kuliko dar mbeya, ndege ndo usiseme.Pia angalia umbali wa Mwanza na Mbeya kwa barabara..
Ukipata jibu hesabu mabasi mangapi yanaenda Mbeya kutoka Dar na Mangapi yanaenda Mwanza kutoka Dar..
Hata Kigoma na Bukoba ina route nyingi za ndege kuliko Mbeya na sababu ni umbali so mtu analinganisha adha ya kushinda barabarani masaa mengi na bei ana opt Ndege Kwa huko kwenu na huku kwetu Wana opt mabasi...
Huko kwenu anakuja kwa sababu Kuna lundo la matatizo ambayo huku hayapo..
Mathalani ziara yake huku Mbeya imekuwa ni full shangwe kwa utekelezaji wa miradi na amewasifia watendaji wake,huko Mwanza keshapangua ma RC mara 3..
Mfano mwingine,Biteko Amesema Wilya ya Chunya imeizidi Kahama na ni ya pili Kwa kuzalisha dhahabu nyingi nyuma ya Geita,ni full shangwe..
Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Amesema Mbeya ni ya pili Kwa kuwa na viwanda vingi nyuma ya Pwani na vingine.vingi vinakuja wametoa leseni kama zote..
Na RC amesisitiza tena leo kwamba Mbeya imekusanya Bil.45 na kuvuka malengo kwa hiyo Bashungwa katoa taarifa ya uongo..
Mwisho siku ya 8/8 Rais anazindua miradi 21 ya umwagiliaji Kati ya hiyo 13 iko Mkoa wa Mbeya..
Ndio maana kila siku nawaambia Mbeya hatuhitaji push ya serikali huku tayari watu wanajua wanachofanya sio kama huko msikojielewa.
Stand kuu mbili kubwa Tanzania ni Ubungo na Nyegezi tu 😀😀😀😀Mabasi ya dar Mwanza ni mengi kuliko dar mbeya, ndege ndo usiseme.
Na unawekwa nyasi bandia na mechi za usiku ndio usiseme sasaGeita gold's arenaView attachment 2316514View attachment 2316515
Huna hoja..Kusini ni zaidi ya dhahabu huku kuna kila kitu.Matatizo yako huko kusini kulikotengwa, kwanza ilitakiwa yawe mashamba tu lakini nashangaa kwanini watu wanaishi huko, zaidi ya 90% ya dhahabu inachimbwa Kanda ya ziwa, mbeya kimakusanyo iko nyuma ya nyamagana, mbeya kila siku hapa mnalialia mmetengwa hata hii Rais kuja kwenye nanenane mmefurahi mno kwamba mmeanza kukumbukwa wakati ni zuga tu.
Nikajua umeweka namba kumbe umeandika stori za kutunga. Nasema hivi hamuwezi zidi hata kidogo,kuna basi zaidi ya 15 zinaondoka Mbeya kwenda Dar kila siku..Mabasi ya dar Mwanza ni mengi kuliko dar mbeya, ndege ndo usiseme.
Taa nazo ni za kujisifia kweli kwenye hicho Kijiji chenu kilichojaa umaskini?
Render 😂😂😂😂
Hadi dakika hii mumeshindwa kuweka video za hivi vijiji vyenu kwa sababu mnaogopa kuaibika..