The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Bado saaana..Tanzanite hospital...View attachment 2321706
Hospital ya Wilaya ya Ileje,huku kwetu ni magorofa tuu 👇
Bado saaana..Tanzanite hospital...View attachment 2321706
Pamoja na kuiga ila bado hamjafikia hapa..Kahama hospital..imejengwq na wananchi wa kahama.sio ruzuku za wizaraView attachment 2321694View attachment 2321695
Mkoa Wa Njombe una hospital Kubwa na yenye hadhi kuliko Mikoa yote Mipya tena ghora tatu kwenda Juu wakati hizo zenu za Geita nk ziko floor 2 tuu..Kwa sekta ya afya ..nyanda za juu mkae mtulie ...ngoja tuwaonyeshe
Naendelea kuwavutisha pumzi ya moto ya Tunduma 👇Jikanyagee tu
Acha kuleta hadithi za kutungwa..Muongeze na KAMANGA referral hospital.
Endeleeni kununa huko huko mliko ila Nyanda za Juu Kusini hatukamatiki![]()


sisi tunakushaangaa unachafua uzi, wewe endelea kupost🤣🤣🤣🤣 Nitazidi kuchafua Ili muendelee kushangaa zaidi..sisi tunakushaangaa unachafua uzi, wewe endelea kupost
Ukanda pekee wenye reserve ya almasi ..mwadui shinyanga na mabuki mwanza ...Angalia hapo juu karibu na ziwa ,uone utajiri wa madini na rasilimali ulivyolundikanaView attachment 2321909
Ukisikia kilio unajua tayari sindano imefika kunako 😆😆.Umekosa Cha kupost .. unarudia rudia tu .viscreen shot vyako
Madini tunayo na mashamba tunayo,tunachapa kote kote👇Angalia hapo juu karibu na ziwa ,uone utajiri wa madini na rasilimali ulivyolundikanaView attachment 2321909
Narudia rudia picha 🤣🤣🤣🤣Ukanda pekee wenye reserve ya almasi ..mwadui shinyanga na mabuki mwanza ...