Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • FWSTIsUWYAQ0RPx.jpeg
    FWSTIsUWYAQ0RPx.jpeg
    296.5 KB · Views: 24
Lake zone wakiona hivi lazima wanune 😆😆.

Mbeya👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220701-105342.png
    Screenshot_20220701-105342.png
    163.6 KB · Views: 24
Vituo vya Biashara havitengenezwi na Serikali..
Mwanza iliishajitengeneza, zaidi wanarahisha kwa kutengeneza miundo mbinu ili kuweka mazingira ya biashara vizuri. Kuhusu Tabora ni inatengenezwa na ni suala la muda mfupi tu. Tabora inaiunganishwa kwa kasi kwa mitandao ya barabara na mikoa ya Magharibi na Nyanda za juu kusini.

Kukamilika kwa hizo barabara kutaongeza flow kubwa ya magari ya abiria na mizigo hasa kutoka Nyanda za juu kusini na mikoa ya Magharibi kuelekea kanda ya ziwa. Sasa hivi mtu kutoka Mwanza-Mbeya mpaka apitie Dodoma/ Iringa. Kukamilika kwa barabara la Sikonge Mbeya. Safari kati ya kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini zitakuwa zinachukua muda mfupi sana tofauti na ilivyosasa.

1657093218392.png
 
Nchi za Africa tunashida ya kuwaza mambo ya karibu karibu,Bada ya kuwaza namna gani Africa tunaweza kutumia mwanya wa Urusi kuzalisha Gas,Ngano na nafaka,mafuta Ili tuilishe ulaya sisi tunawaza matumizi TU ya fedha tunazokopa.Kama vita ya Urusi ingekua Africa wazungu wange capitise lakini sisi tumebaki kutazama na mwakani tutabaki tunalialia vitu vinapanda Bei Kwa sababu ya vita vya Urusi na Ukraine.
Hii inahusiana vipi na njombe ,au njombe ndo Afrika yenyewe

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tandale flani hiv...

Yaan ni pabaya na hapavutii
Kwa picha hizi za lami hadi huko Vijijini Mufindi lazima uugue vidonda vya tumbo..

Kusini kuna mavumbi 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-201823.png
    Screenshot_20220712-201823.png
    174.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220712-201851.png
    Screenshot_20220712-201851.png
    168.7 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220712-195458.png
    Screenshot_20220712-195458.png
    195.4 KB · Views: 25
Barabara za lami huko Vijijini Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-224121.png
    Screenshot_20220712-224121.png
    149.4 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220712-224045.png
    Screenshot_20220712-224045.png
    154.8 KB · Views: 19
  • 20220712_224149.jpg
    20220712_224149.jpg
    76.7 KB · Views: 23
  • 20220712_224053.jpg
    20220712_224053.jpg
    84 KB · Views: 21
  • 20220712_224100.jpg
    20220712_224100.jpg
    64 KB · Views: 23
Back
Top Bottom