Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Ule si utopolo...ni barabara kumbeNilisha kuonyesha za njombe mzee bado mpo nyuma mzee
Ule si utopolo...ni barabara kumbeNilisha kuonyesha za njombe mzee bado mpo nyuma mzee
Hamna kitu hapo...
Home land
Hamna kitu apoo njombe tupo kwenye kilimo Cha biashara na viwanda vyake vipoo ka chai, mbao na parachichi yapoo mashamba na viwanda vyakee apoo s ka vinyunguni wanako Lima mboga mboga na nyanyaShinyanga ,,,, farmlandView attachment 2274800
Anatuletea picha za vinyunguni 😂😂😂😂 hata hapaeleweki wamelima mazao ganiHahahaha kijishamba hicho
Kumepauka hatari..Mitaa ya KAHAMA ,imechangamka ,,kumekaa kinjanja sanaView attachment 2273478View attachment 2273479