Sasa mbona unaleta picha za Kenya najua ulikochukua😊😊😊after all mada ni Njombe v Kanda ya ZiwaDar es Salam haya ni makazi bora kwa mujibu wako wanjombeView attachment 2278545View attachment 2278546View attachment 2278547
Huwezi linganisha utopolo wa njombe ...na kanda ya ziwa....kabishaneni na songwe kuhusu mkoa upi unatoa maparachichi mengiSasa mbona unaleta picha za Kenya najua ulikochukuaafter all mada ni Njombe v Kanda ya Ziwa
Haya ndio makazi bora ya watu matajiri wa njombe .pinga na hizi picha useme za ugandaSasa mbona unaleta picha za Kenya najua ulikochukuaafter all mada ni Njombe v Kanda ya Ziwa
Hii ndio njombe yenyewe sasa ....Haya ndio makazi bora ya watu matajiri wa njombe .pinga na hizi picha useme za ugandaView attachment 2278892View attachment 2278893View attachment 2278894View attachment 2278895
Usisikilize maneno ya watu, shinyanga mjini iko juu kuliko kahama hususani huduma za kijamiiMbona Shinyanga mjini ni makao makuu ya mkoa lakini Kahama iko speed kuliko Shy Town?
Wewe ni mzungu?Bahahahaha huu uchafu?
Nishinde na makoti 24/7 me mgonjwa? Mlivyo weusi tiii sasa![]()
Haya makazi ni bora mara 100 kuliko mabanda ya nguruwe Yale ya Kahama na Mwanza.Haya ndio makazi bora ya watu matajiri wa njombe .pinga na hizi picha useme za ugandaView attachment 2278892View attachment 2278893View attachment 2278894View attachment 2278895
Dar ni moja ya majiji ya hovyo kabisa hapa Tanzania,ndio maana siwezi hama mkoani..
Tuko vizuri sana,kila sekta Nyanda za Juu tunawakilisha..Mapato yatokanayo na madini kwa mwaka 2021:2022,,,kanda ya ziwa vs nyanda za juuView attachment 2277661View attachment 2277662
Chunya na Mbeya hoyee.. yaani kila sekta tunakimbiza kuanzia Kilimo,misitu hadi madini 💪💪..Out of five ,4 ni kanda ya ziwaView attachment 2277664
Naona hujatosheka na ban uliyoipata mtu mfupi na mweusi tiiHaters wa kutoka Makao Makuu ya Umaskini Lake zone wakiona wawekezaji wanamiminika Njombe wanatamani Ardhi ipasuke waingie 😆😆..
Go Njombe go 👇
Picha za zamani hizi mfano Kwa Leo kutoka kanisa la Roman Catholic hapo kuna gorofa lenye benki ya Mkombozi na kutoka mkombzi Kuna j dogo la ghorifa mbili kwenye picha zako hazipoHaya ndio makazi bora ya watu matajiri wa njombe .pinga na hizi picha useme za ugandaView attachment 2278892View attachment 2278893View attachment 2278894View attachment 2278895
Ndo ulete picha ,sie maneno hatuweziPicha za zamani hizi mfano Kwa Leo kutoka kanisa la Roman Catholic hapo kuna gorofa lenye benki ya Mkombozi na kutoka mkombzi Kuna j dogo la ghorifa mbili kwenye picha zako hazipo
Mkombozi bank ninayoizungumzia hiyo hapoNdo ulete picha ,sie maneno hatuwezi