Wenzetu wanabasi ya Transit tu, na stand hawana 😁😁😁😁Barabara ya singida mwanza.. stendi za singida ,Nzega ,igunga, Manyoni , Dodoma hushuhudia convoy ya ajabu ya vyuma toka kanda ya ziwa ...
Hii ligi ya mabus lazima tukunyoosheView attachment 2289929
Umeshachanganyikiwa na viwanja..Bukoba hayo ni mabasi ya shule
Tafuteni pesa watu wa kusini...View attachment 2289923View attachment 2289925View attachment 2289928
Nikajua umeweka ligi ya mabusi ya maana huko kwenu kumbe unaleta picha za vibasi vya kwenda huko porini kwenu 😆😆Hii ligi ya mabus ..umeianzisha na utakimbia..dadek
Eneo pekee tofauti na dar ,safari ya km 200 unatumia classic bus ...
Mwanza _ KAHAMA, Mwanza _musoma ,mwanza tarime ,mwanza bukoba ,bariadi _kahama ...huwezi pata classic bus MBEYA to Iringa tofauti na kuunganisha mabus ya dar ..Mbeya -njombe huwezi pata yutong ...kama ipo niite mbwa nipo KAHAMA hapaView attachment 2289893View attachment 2289894View attachment 2289896View attachment 2289898View attachment 2289899View attachment 2289900
Wew too young kwenye battle hiiBila kusahau nyanda za juu kusini tunakimbiza katika sekta ya kilimo msisahau hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dozi iingie kwenye damu ..maana ulitaka mwenywNikajua umeweka ligi ya mabusi ya maana huko kwenu kumbe unaleta picha za vibasi vya kwenda huko porini kwenu![]()
Kanda ya ziwa mikoa yote ni mchele... mwanza ,Geita , Shinyanga, simiyu, kagera Biharamulo ,mara BundaWatu wa kanda ya ziwa niepeni mikoa yenu mitatu inayozalisha zalisha mpunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Economy diversification ni muhimu, ili ukitokea ukame nchi isiyumbe. Huku kanda ya ziwa tunaongoza kwa mining industry, fishing, tranportation and logistics, Japo sekta nyingine hatuko nyuma kama kilimo, ufugaji. utalii na huduma za kifedha.Bila kusahau nyanda za juu kusini tunakimbiza katika sekta ya kilimo msisahau hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo penyewe ngoja sasa tuanzeEconomy diversification ni muhimu, ili ukitokea ukame nchi isiyumbe. Huku kanda ya ziwa tunaongoza kwa mining industry, fishing, tranportation and logistics, Japo sekta nyingine hatuko nyuma kama kilimo, ufugaji. utalii na huduma za kifedha.
Njombe iko vizuri kuanzia Hali ya hewa ardhi nk ..Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Motor vessel za kueleweka zipo ngapi humo???Tupo na ziwa lefu namba moja africa lenye futi 1470 Eneo la majikm² 32,893View attachment 2289989
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo kigoma ,na rukwa ni nyanda za juu ,anyway vyovyote hata muiweke na Burundi ,Tupo na ziwa lefu namba moja africa lenye futi 1470 Eneo la majikm² 32,893View attachment 2289989
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa sana Nyanda za juu kusini zimefika Kigoma, wanachanganya kanda ya Magharibi (RUKWA/KATAVI/TABORA/KIGOMA) na huko uswekeni.Kwa hyo kigoma ,na rukwa ni nyanda za juu ,anyway vyovyote hata muiweke na Burundi ,