Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mapato yatokanayo na madini kwa mwaka 2021:2022,,,kanda ya ziwa vs nyanda za juuView attachment 2277661View attachment 2277662
Kwenye bi bi bi ndio maskini wengi wanapatikana.Tuache utani mikoa ya Kanda ya ziwa hususani Mwanza,Simiyu,Shinyanga,Geita na baadhi ya maeneo ya Kagera ni mikoa Duni mno Jiji la mwanza Wala lisichanganye in it's outskirt Kuna umasikini mkuu,makazi duni,elimu duni,maisha duni.Serikali inapaswa kufanya kitu it bad
 
Eti makazi duni, elimu duni ...,we unajua NBS wametumia kipimo gani kudetermine hali ya umaskini kwenye hyo mikoa uliyoitaja ....
Je hicho kipimo limitation zake ni zipi
Wametumia wastani wa consumption kwa kila kaya kwa mwezi katika mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi na hawajaangalia consumption kwenye kununua vitu vingine kama nyumba,magari, rasilimali zingine .swali linakuja je kama kaya ina chakula cha kutosha store na hailazimik kununua chakula je nayo inawekwa kwenye kaya maskini ..kisa haijafanya manunuzi ya chakula na mavazi ndani ya mwezi husika!?.

Dar inaongoza kwenye list ya mikoa tajiri si kwa sababu ni matajiri wengi bali wengi wao wanafanya consumption kweny mahitaji ya msingi ya chakula kwa sababu dar hamna hayo mashamba ya msosi ko lazima wanunue kwa wingi..
 
Msukuma asilimia kubwa ya kipato chake anawekeza kwenye kununua ng'ombe na sasa hivi ameanza kuhamia kwenye ujenzi wa nyumba na kusomesha ...hafanyi consumption kubwa kwenye manunuzi ya chakula na mavazi ... ambacho ndio kipimo cha NBS
 
Eti makazi duni, elimu duni ...,we unajua NBS wametumia kipimo gani kudetermine hali ya umaskini kwenye hyo mikoa uliyoitaja ....
Je hicho kipimo limitation zake ni zipi
Wametumia wastani wa consumption kwa kila kaya kwa mwezi katika mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi na hawajaangalia consumption kwenye kununua vitu vingine kama nyumba,magari, rasilimali zingine .swali linakuja je kama kaya ina chakula cha kutosha store na hailazimik kununua chakula je nayo inawekwa kwenye kaya maskini ..kisa haijafanya manunuzi ya chakula na mavazi ndani ya mwezi husika!?.

Dar inaongoza kwenye list ya mikoa tajiri si kwa sababu ni matajiri wengi bali wengi wao wanafanya consumption kweny mahitaji ya msingi ya chakula kwa sababu dar hamna hayo mashamba ya msosi ko lazima wanunue kwa wingi..
Kanda ya ziwa huhitaji hata kutumia NBS data macho TU yanakuambia ukweli Yale makazi yalijojaa Kila Kona na kufunikwa na mawe juu unadhani sio duni?.Mimi nawasaidia TU kuwa serikali iwasaidie Kwa jicho la kipekee maana wanachi pekee Yao hawawezi tofauti na nyanda za juu
 
Slums zilizojazana dar es Salam ,,nyumba za tembe zilizopo Dodoma ,udumavu uliopo njombe ,huoni au hayo ndiyo makazi bora unayoyasemea ..mpaka hapo inaonekana huna facts za kusimamia hoja zakk
 
Ukiwaambia watu wafupi hapa ni DAR watabisha
1656659715570.png

1656659810141.png
 
Na ukiwaambia hapa ni Njombe watashangilia 😀😀😀😀
1656660141221.png

1656660211031.png
 
Back
Top Bottom