Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama municipal hospital
255756284418_status_f0ba175afd634395b74aa9f252156494.jpg
 
Watu wa Njombe muone aibu yaani wilaya inaitoa jasho mkoa.
Ukiona hivyo ujue mko nyuma sana, Njombe mnatakiwa mpambanie ligi za mikoa kutangaza kijiji chenu. Hata hivyo hakuna mkoa wa kupambano nao mtakuwa wa mwisho tu, ndio maana mmeng'ang'ana na wilaya.
 
Watu wa Njombe muone aibu yaani wilaya inaitoa jasho mkoa.
Ukiona hivyo ujue mko nyuma sana, Njombe mnatakiwa mpambanie ligi za mikoa kutangaza kijiji chenu. Hata hivyo hakuna mkoa wa kupambano nao mtakuwa wa mwisho tu, ndio maana mmeng'ang'ana na wilaya.
Jasho lipi tumetolewa na hilo gulio? 😆😆😆 Yaani hospital tuu ndio mumepata saizi wakati kwa Njombe ziko siku nyingi Tena sio moja,hivi karibuni ndio imeongezewa na ya Mkoa..

Manispaa Ina watu zaidi ya 300k lakini huduma za jamii ni zero,mnaishi kwenye misery life sana huko.

Anyway ngoja tuendelee kuwasaidia usafiri 👇
Watu wa Njombe muone aibu yaani wilaya inaitoa jasho mkoa.
Ukiona hivyo ujue mko nyuma sana, Njombe mnatakiwa mpambanie ligi za mikoa kutangaza kijiji chenu. Hata hivyo hakuna mkoa wa kupambano nao mtakuwa wa mwisho tu, ndio maana mmeng'ang'ana na wilaya.
 

Attachments

  • Screenshot_20220625-214045.png
    Screenshot_20220625-214045.png
    207.7 KB · Views: 23
  • 20220614_210806.jpg
    20220614_210806.jpg
    68.1 KB · Views: 28
  • 20220614_210811.jpg
    20220614_210811.jpg
    64.2 KB · Views: 26

Attachments

  • Screenshot_20220625-213748.png
    Screenshot_20220625-213748.png
    158 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220625-214119.png
    Screenshot_20220625-214119.png
    461.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220701-105342.png
    Screenshot_20220701-105342.png
    163.6 KB · Views: 26
  • Screenshot_20220714-073157.png
    Screenshot_20220714-073157.png
    139 KB · Views: 28
Tunduma-Songwe, border ya Wajanja 👇
 

Attachments

  • 20220713_221104.jpg
    20220713_221104.jpg
    154.1 KB · Views: 23
  • image_c1079d13-8e7a-49f4-8df1-abaa6d45facb20220713_221040.jpg
    image_c1079d13-8e7a-49f4-8df1-abaa6d45facb20220713_221040.jpg
    128.2 KB · Views: 26
Tanzania nzima hakuna ligi ya machuma ya maana kama hii,only in Mbeya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220714-073918.png
    Screenshot_20220714-073918.png
    184.8 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220714-073445.png
    Screenshot_20220714-073445.png
    137.8 KB · Views: 27
  • FXNYstFXwAEwPeI.jpeg
    FXNYstFXwAEwPeI.jpeg
    105 KB · Views: 26
  • FXYK5XlXkAIZEuQ.jpeg
    FXYK5XlXkAIZEuQ.jpeg
    159.7 KB · Views: 22
  • FKhsuXsXMA8ePBO.jpeg
    FKhsuXsXMA8ePBO.jpeg
    259.8 KB · Views: 27
  • IMG_0239.jpg
    IMG_0239.jpg
    70 KB · Views: 24
Tanzania nzima hakuna ligi ya machuma ya maana kama hii,only in Mbeya
Hii ligi ya mabus ..umeianzisha na utakimbia..dadek

Eneo pekee tofauti na dar ,safari ya km 200 unatumia classic bus ...
Mwanza _ KAHAMA, Mwanza _musoma ,mwanza tarime ,mwanza bukoba ,bariadi _kahama ...huwezi pata classic bus MBEYA to Iringa tofauti na kuunganisha mabus ya dar ..Mbeya -njombe huwezi pata yutong ...kama ipo niite mbwa nipo KAHAMA hapa
IMG_20220714_101237.jpg
IMG_20220714_101312.jpg
IMG_20220714_101335.jpg
IMG_20220714_101508.jpg
IMG_20220714_101539.jpg
IMG_20220714_101552.jpg
 
Hizi zinapiga ruti ndani ya mikoa ya kanda ya ziwa ... serikali sio wapumbavu kujenga stendi mbili za kisasa mwanza .....

Ruti za ndani ya nyanda za juu kusini ni kosta,,,nani kaona hizo ,,,
IMG_20220714_102322.jpg
IMG_20220714_102438.jpg
IMG_20220714_102410.jpg
IMG_20220714_102733.jpg
IMG_20220714_102303.jpg
 
Back
Top Bottom