Kahama VS Njombe/Mafinga

Kufunga mjadala huu, mji atakao tembelea wa kwanza kati ya hizi miwili (Njombe / Kahama) ndio mshindi....Tumeelewana?
 
Kufunga mjadala huu, mji atakao tembelea wa kwanza kati ya hizi miwili (Njombe / Kahama) ndio mshindi....Tumeelewana?
Nijuavyo Mimi Njombe imetembelewa mara nyingi na Marais wawili JK Nyerere na JK wa pili(Kikwete) Sababu zinajulikana wote wawili walikua wanaitazama Njombe kwa jicho la uchumi na sio luxuries.
 
Nijuavyo Mimi Njombe imetembelewa mara nyingi na Marais wawili JK Nyerere na JK wa pili(Kikwete) Sababu zinajulikana wote wawili walikua wanaitazama Njombe kwa jicho la uchumi na sio luxuries.
Unaogopa mapema, mama ni kama JK tu
 
Njombe ndio kitu gani ? Kule ambako ukimwi ulishafanya makao ya milele ? Mijitu inakula bangi kama mboga toka utotoni ? Sina hata muda wa kupoteza na mikoa ya kipuuzi kama Njombe
 
Njombe ndio kitu gani ? Kule ambako ukimwi ulishafanya makao ya milele ? Mijitu inakula bangi kama mboga toka utotoni ? Sina hata muda wa kupoteza na mikoa ya kipuuzi kama Njombe
Kwa.jinsi unavyoropoka na kuhara upupu hapa jukwaani nadhani umevuta bangi ya Mzilankende πŸ˜‚πŸ˜‚..la.sivyo ni kansa ya ubongo maana ndio imekita mizizi.

Njombe kila Kona lazima iwakalie kichwani na kuwajambia kama hivi πŸ‘‡
Njombe ndio kitu gani ? Kule ambako ukimwi ulishafanya makao ya milele ? Mijitu inakula bangi kama mboga toka utotoni ? Sina hata muda wa kupoteza na mikoa ya kipuuzi kama Njombe

Ujumbe umefika, acheni kula bangi kama mboga. Njombe ni uswekeni tu huko nani anapataka ? We vipi ?
 
Ukiona vilio kama hivi uje kuna maumivu mahala πŸ˜†πŸ˜†..

Chato wakamue hao hadi akili ziwakae sawaπŸ‘‡

Maskini wewe Kagera haiwezi kutetereka kwa kuondoka wilaya maskini kama biharamulo na ngara, wanalalamika wachache wenye maslahi na hizo wilaya
πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£ utasikia sisi tuna madini.Maskini Kanda ya Ziwa kwa shujaa wa Africa πŸ‘‡

Habari hizi haziwezi kuwa njema kwenye maskio ya Wazee wa Kahama,Mwanza na Lake zone 🀭🀭..

Green gold πŸ‘‡

Sgr sio kipaombele kwa sasa huku Njombe, kipaombele ni barabara na parachichi..

Hiyo sgr itajengwa kutoka makambako Njombe liganga/ mchuchuma to Mtwara ..

Sisi kipaombele ni πŸ‘‡

View attachment 2016193

View attachment 2016194
Njombe hamna haja na SGR kwa sababu TAZARA imepita hapo ambayo nayo ni SGR standard chakubadili hapo ni vichwa vya umeme na kuweka mifumo ya umeme tu.

Nimesha wahi kupanda express first class mara kadhaa aisee kunastarehe kama unafanya utalii, huwa napenda sana usafiri wa tren reli ya TAZARA mbeya - Dar.
 
Hilo walikuwa hawajui kuwa sgr huku nyanda za juu kusini ilishajengwa kitambo sema hawakuweka mfumo wa umeme wao si ndo mara ya kwanza kusia neno hilo
 
Habari kama hizi hazijawahi kuwa njema kabisa kwa Kahama na Lake zone ..

2025 kama Njombe haijaipita Kahama kwa mapato mnipe ban ya maisha kwenye hili jukwaa.

Na kama Mbeya haijawa na GDP at par na Mwanza mnipe ban ya miaka 2..

We have secured another market for green gold πŸ‘‡

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…