Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwamba kutoka Kagera 😂😂😂😂😂

Screenshot_20211027-212237.png
 
Hivi report ya TAMISEMI kuhusu mapato ya Halmashauri hamjaiona au mnakausha tu????
 
Sasa hivi kwenye mashamba ya parachichi Njombe Kuna nyumba za gorofa pia.Vile hatutaki kwenda kupiga picha nyumba za watu binafsi
huoni aibu kudanganya, lini Njombe mkaishi mashambani? Mikoa ambayo watu wanaishi na mashamba ni Kagera (wahayani) na Kilimanjaro (wachagga)
 
Sasa hivi kwenye mashamba ya parachichi Njombe Kuna nyumba za gorofa pia.Vile hatutaki kwenda kupiga picha nyumba za watu binafsi.
nyie mnakimbilia mijini tu vijijini ni tabu tupu

Bado watu wanatumia machela kwenda hospital
 
Nafikiri Njombe ilipaswa kuwa Manispaa pengine hata kabla ya Kahama.

Mikoa ambayo haina jiji wala Manispaa hata moja ni Njombe, Geita, Simiyu na Pwani.
Mikoa ambayo haina manispaa ongezea Manhattan na songwe pia naona kahama kuwa manispaa umeumia sana ila njombe kuwa halmashauri ya mji kabla ya kahama uliona poa kwa taarifa tu kahama wameomba manispaa toka 2014 wakati ikitangazwa mpanda na ilemela kuwa manispaa pia Kahan ilitangazwa bungeni lakini figisu zikafanyika mkoani ile hati hawakuifuata siku 45 zikapita wakanyanganywa hicho cheo pia 2016 wakaomba wakaguzi wakaja wakapitisha ndio wakasubiri kutangazwa kwani vigezo wao kahama geita na kibaha vilikuwa vimetimia kwa sababu ya figisu magufuli akawatangaza jukwaani ikapita hio kuhusu njombe mwaka huu 2021 ndio wameomba sasa ulitaka wapewe hadhi bila kuomba pia kunakigezo cha mapato ya ndani njombe hapo nyuma hawakuwa vizuri ndio maana hawakuomba
 
Sisi Njombe mjini tutatangazwa kua Manispaa On merit sio kwa favour ya mtu mmoja kama ilivyofanyika kahama,kwa kuwa Rais JPM alifurahishwa na Mkurugenzi.Sisi watatutangaza tu kwa vigezo watake wasitake.Njombe is an abundant town well organised,clean,full of modern structure,tuna poluation inayohitajika,tuna pato linalohitajika sasa kwa nini wasitutangaze.We don't entertain or pray for favour but on criteria all will be done accordingly.
 
Kwani katika vigezo vya manispaa kahama walipungukiwa kigezo kipi ilihali walikuwa wamepeleka maombi ya kuwa manispaa na bunge likatangaza wamekidhi vigezo wao geita pamoja na kibaha hivyo inasubiriwa bajeti ikikaasawa watapandisha hadhi hio miji mitatu lakini kahama wakapandishwa mapema kabla ya hio miji mingine na Wala hatujasikia ikipiga kelele kama nyie njombe wenye wivu wa mke mwenza yaani kahama ilioanza kuomba manispaa toka 2014 wewe umeomba 2021 halafu unasema ulikuwa upendeleo fikiria kahama sio makao makuu ya mkoa wala jiji lakini inasimama kama mkoa kiuchumi sasa anaachaje kumfurahisha mkuu hata nyinyi mwambieni mkurugenzi wenu amfurahishe mama samia kwa kuchapa kazi miradi ya maendeleo yenye tija hio ni hongo tosha mtapandishwa mapema lasivyo mtasubiri kama Moshi
 
Ok je geita ni Manspaa,kibaha ni Manispaa pamoja na kua na viwanda?
 
Sasa hivi kwenye mashamba ya parachichi Njombe Kuna nyumba za gorofa pia.Vile hatutaki kwenda kupiga picha nyumba za watu binafsi.
Ziko wap hizo ghorofa?

Kishanda muleba vijijini 60km from bukoba
FB_IMG_16363896851222516.jpg
FB_IMG_16363896810307030.jpg
FB_IMG_16363896766157780.jpg
FB_IMG_16363896726715046.jpg
 
Little More super market ya Kahama ni kubwa kuliko ya Arusha
1636813621598.jpeg
 
Back
Top Bottom