Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huko mtapauka sana
Uko sahihi kabisa hapa chini tunaendelea na ile kasi ya kupauka,Kusini kumetengwa Rais haji 😝😝..

Go Swax do 👇

IMG_20211118_175902_432.jpg


IMG_20211118_175643_724.jpg


IMG_20211118_175915_699.jpg


IMG_20211118_180056_872.jpg


IMG_20211118_180702_200.jpg


IMG_20211118_180758_852.jpg


IMG_20211118_181750_840.jpg


IMG_20211118_182206_304.jpg


IMG_20211118_182543_162.jpg


IMG_20211118_182929_339.jpg


IMG_20211118_182930_635.jpg


IMG_20211118_183244_140.jpg


IMG_20211118_183254_498.jpg
 
Kusini kumetengwa Rais haji 😝😝

Chunya,Mbeya kule mahala dhahabu inatoka na kuwafaidisha watu wake..👇👇

Screenshot_20211021-172126.png


Screenshot_20210913-082302.png


Screenshot_20210913-082257.png


Screenshot_20210913-082251.png
 
Moja ya vitu vitakavyo utangaza mji wa makambako na mkoa wa njombe kimataifa ni viwanda vya madawa ambavyo ni vikubwa Africa mashariki na Kati vinaanza kazi mwezi wa kuminambili na viwanda vikubwa viwili vya kusindika parachichi na kutengeneza mafuta ambavyo vimefungwa mitambo inayo piga chata kuwa yametoka mkoa wa njombe na vyote hivyo vimejengwa mji wa makambako kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom