Kahama VS Njombe/Mafinga

Wale wazee wa honeymoon na vacation bukoba ipo kwa akili yako.


Balamaga bed and breakfast busimbe bukoba munispality
 
Zinatoka sehemu tofauti na Kahama,kuwa specific unazungumzia Mkoa au Kahama?

Geita Wana haki ya kulalamika sio Kahama.
Inawezekana kahama unaisoma kwenye mtandao huijui wilaya ya kahama ina migodi mikubwa miwili mgodi wa buzwagi na mgodi wa bulyankulu wilaya ya geita wana mgodi mkubwa mmoja unaitwa GGM
 
we ushakuwa ndezi,sasa hao waislam unaosema wapo unawajua walipo au unaamua kubishana tu.Soma historia ndio ujue kwanini Njombe hakuna waumini wa kiislamu.Mkoa mzima wa Njombe hakuna waumini wa kiislam kufika hata 1000 na hiyo sio bahati mbaya ni historical background.Mtafute sheikh wa mkoa mwulize anawaamini wangapi.Angalau Iringa wako wengi lakini sio Njombe japo msikiti upo lakini watu hawaslim.
 
Bukoba na uislam wap na wap.

Waislamu ni wachache Tena zaidi kuliko huko njombe lakin wako wizuri kuzidi waislamu waliojazana huko pwani
 
Mbona hayo magorofa yanahesabika halafu katikat ya mji kuna vinyumba vya udongo kama vyote, hayo maslum katikati ya jiji nayo ni sifa ya jiji
We kweli kima,Mbeya ni kama Dar(kariakoo& posts),ina mwanjelwa na soko matola
 
huko ndo wanajenga Leo?

Mambo ya barabara yalishapitwa na wakati mjini bukoba.
Vitu minor Sana.

Sasa wanarekebisha zile old roads bukoba sio kujenga barabara za lami




Anyway baadhi ya barabara mjini bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…