Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Naona unaweweseka Mara njombe,Mara iringa,Mara mbeya,Mara makambako.

Yaan mji wa bukoba unapambana na kusini nzima


Leo nikutembeze vilima vya kashura mjini bukoba
vvvv.PNG
ccczzz.PNG
cvvvvv.PNG
xzzz.PNG
cxzzz.PNG
 
huko ndo wanajenga Leo?

Mambo ya barabara yalishapitwa na wakati mjini bukoba.
Vitu minor Sana.

Sasa wanarekebisha zile old roads bukoba sio kujenga barabara za lami



Anyway baadhi ya barabara mjini bukobaView attachment 1947598View attachment 1947599View attachment 1947600View attachment 1947601View attachment 1947602View attachment 1947603View attachment 1947604
We kweli hamnazo kwanza tubarabara tuko very local and narrow na hatuna quality,huoni aibu kutuweka hapa?

Tunaongeza barabara zenye quality.

Ukipata barabara zenye quality kama hizi huko kijijini Bukoba nitag.

IMG_20210920_191410_780.jpg


IMG_20210920_191421_156.jpg


IMG_20210920_191425_470.jpg


IMG_20210920_191448_121.jpg
 
Back
Top Bottom