Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Babu huwa hatuandikii mate,awamu ya sita ni Takwimu,namba na facts..Kijiji cha njombe kiwe manispaa?!! Acha utani basi.
Soma hiyooo 👇
Babu huwa hatuandikii mate,awamu ya sita ni Takwimu,namba na facts..Kijiji cha njombe kiwe manispaa?!! Acha utani basi.
Zinatoka sehemu tofauti na Kahama,kuwa specific unazungumzia Mkoa au Kahama?Unajua almas kwa hapa Tz zinatoka wapi kwa wingi? Na je hapo kahama pia hakuna migodi ya dhahabu? Mimi ni kijana tu wa miaka 27 nipo Mwanza, ila huwa napenda sana msemo wakuitana mzee mwenzangu.
Upo sahihi lakini kwanini ata huko geita barabara, huduma za kijamii zipo nyuma sana ukilinganisha na kile wanachochangia asee hii nchi hii.Zinatoka sehemu tofauti na Kahama,kuwa specific unazungumzia Mkoa au Kahama?
Geita Wana haki ya kulalamika sio Kahama.
Geita ni makao makuu ya Mkoa ,mambo yako 🔥🔥Upo sahihi lakini kwanini ata huko geita barabara, huduma za kijamii zipo nyuma sana ukilinganisha na kile wanachochangia asee hii nchi hii.
Kanda nyumbu ni huko kusini matakoni mwa Tanzania, jibu Rais Suluhu anapendelea kanda ya ziwa? Make juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa na anazidi kutoa pesa kwa kasi sana SGR iendelee kujengwa chap, na anaendelea kuufanya mkoa wa Mwanza kuwa kitovu cha biashara katika nchi za EACNilishakujibu mara nyingi tuu sehemu kama huko lake zone ni zenye matatizo lukuki na ni Kanda ya nyumbu sasa ukitaka ulaji unawaweka Kati nyumbu..
Ulazima wa Rais kuja ni upi ikiwa maendeleo yanafanyika? Kuna miradi lundo inafanyika na mwingine huu hapa wa Maji Makambako..
Wewe Mzee unazeeka vibaya,ishu sio sura ya Rais ishu maendeleo,kama hayafanyiki lazima tunge mask,huo ni ushamba.
View attachment 1941655
View attachment 1941656
Nyumbu mnaruka na kukanyagana,Kusini ni Kanda ya wasomi sio manyumbu na washamba kama Usukumani ,😀😀Kanda nyumbu ni huko kusini matakoni mwa Tanzania, jibu Rais Suluhu anapendelea kanda ya ziwa? Make juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa na anazidi kutoa pesa kwa kasi sana SGR iendelee kujengwa chap, na anaendelea kuufanya mkoa wa Mwanza kuwa kitovu cha biashara katika nchi za EACView attachment 1941902
Yaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo hukoNyumbu mnaruka na kukanyagana,Kusini ni Kanda ya wasomi sio manyumbu na washamba kama Usukumani ,![]()
Tuko pamoja na ndio ilikuwa hoja yangu kuu wakati namjibu kiongozi wa nyumbu hapo juu..Yaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo huko
Hayo maneno toka enzi za mkwere , unfortunately umaskini unazidi kuongezeka..Kanda nyumbu ni huko kusini matakoni mwa Tanzania, jibu Rais Suluhu anapendelea kanda ya ziwa? Make juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa na anazidi kutoa pesa kwa kasi sana SGR iendelee kujengwa chap, na anaendelea kuufanya mkoa wa Mwanza kuwa kitovu cha biashara katika nchi za EACView attachment 1941902
Kwa niniMafinga ni kitovu cha malaya Tanzania
Achana nao...njaa zinawafanya wajibu bila hoja....Kwa nini
Hata Njombe hua hatukwami aisee.Na hatuhitaji Rais kututembelea tunahitaji pembejero,miundo mhinu,health facilities,easy of doing business hivyo ndio Muhimu kuliko kutembelewa na RaisYaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo huko
Nyumbu zimejaa tele kusini, hakuna kitu huko serikali imepasahau sasa mkuu wa serikali anakuja kukagua au kuzindua nini huko, au kuzindua vumbi?!Tuko pamoja na ndio ilikuwa hoja yangu kuu wakati namjibu kiongozi wa nyumbu hapo juu..
Nilisema ukiacha kuwa na watu/ nyumbu wengi ambao ni ngome ya ccm,,mikoa ya Kanda ya Ziwa ina matatizo mengi Sana maana elimu na ustaarabu wa maendeleo umechelewa Sana hiyo pande,kwa hiyo Rais akitembelea no sawa..
Nikaendelea kumjibu yule nyumbu mkuu kwamba Kusini tunachotaka ni kuona vitu vikisonga sura ya Rais sio tija,kama kungekuwa silent tungeuliza ila things are moving then sura ya Rais ya nini?
Niliweka hadi ushahidi wa baadhi ya miradi mipya ya barabara za lami za Mikoa na mikoa..
Uimarishaji wa Songwe International airport
View attachment 1942117
View attachment 1942118
View attachment 1942119
View attachment 1942120
View attachment 1942129
Wewe tayari unafanywaHayo maneno toka enzi za mkwere , unfortunately umaskini unazidi kuongezeka..
Sehemu X haifanywi kuwa kitovu bali natural Geography inaifanya iwe hivyo,mtasubili Sana kufanywa![]()


Huna jipyaWewe tayari unafanywa
UKIMWI utawamaliza make mmenyaona kufanywa ndo dili.
Unahangaika na stand mara masoko wakati ulishindwa kuonyesha barabara hata moja ya dual carriage way kwenye hiyo poverty city.Nyumbu zimejaa tele kusini, hakuna kitu huko serikali imepasahau sasa mkuu wa serikali anakuja kukagua au kuzindua nini huko, au kuzindua vumbi?!View attachment 1942216View attachment 1942218View attachment 1942220View attachment 1942221
Post na wewe hizo parking zenu mnazoita stand na lile genge lenu la mbogamboga na bamia la hapo mwanjelwa, Pimbi za CHAUMA nyie.Unahangaika na stand mara masoko wakati ulishindwa kuonyesha barabara hata moja ya dual carriage way kwenye hiyo poverty city.
Nyumbu za ccm![]()