Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Aisee


Sorry hapa ni mjini?
JamiiForums-575084762.jpg
 
Sasa hapo street lights ziko wapi? Hizo si ni taa za majumbani tuu..

Afu juzi tuu hapo wakazi wa Bukoba walikuwa wanailalamikia Manispaa kwa kushindwa kuweka taa mitaani,kwamba ukifika usiku ni mtihani vibaka wanatawala.
Ndiyo wanalalamika kuwa taa zimeharibika sio kwamba hazipo.




Ukweli ni kwamba bukoba iko mbali Sana kimaendeleo huwezi linganisha na miji ya huko kusini
weee.PNG
View attachment 1949179
ffff.PNG
 
Ndio hiyo ni side view ya Jengo la Mkuu wa Mkoa..

Sasa unaweza Jenga ghorofa kama hilo kijijini?

Kwani hata maghorofa ya Njombe pembezoni mwa Mji si yako katikati ya uoto mkubwa wa miti kama hivyo? Nitatafuta picha ya upande wa mbele uone
Kweli mwenye nacho uongezewa .


Hospital mpya ya wilaya ya karagwe.
Kwa Sasa karagwe Ina hospital nne
FB_IMG_16320806286937593.jpg
FB_IMG_16320806334200568.jpg
FB_IMG_16320806084790968.jpg
 
Sasa hii si barabara kuu hii.

Huu ni ushamba au Nini???


Halafu huko ni pabaya Sana ,pakame , Kuna baridi ,vumbi na bado wachawi
Ukisikia povu ujue dozi imekolea 💉💉

Acha ufala na ushamba kwani barabara kuu haipiti mjini? Hizo ni junction za barabara kuu zinazo divert mjini kuelekea maeneo mengine..

Hizo ni barabara kuu sio za mjini 😆😆

Tunduma 👇

Screenshot_20210923-092446.png


Screenshot_20210923-092514.png


Screenshot_20210923-092535.png


Screenshot_20210923-092619.png


Screenshot_20210923-092710.png


Screenshot_20210923-092749.png


Screenshot_20210923-092435.png


Screenshot_20210923-091054.png
 
Back
Top Bottom