Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Halmashauri nyingi hasikusanyi mapato yanayostahili lkn kuna mzunguko mkubwa wa biashara pia kuna wakwepa kodi pia kuna ufisadi unaweza kutokea au muda mwingine ni amri tu kutoka juu ww kwa akili yako dodoma inaweza kukusanya kiasi hicho kwa miradi gani huko kwa fursa gani tumia akili usitumie viazi kufikiri.






