Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Populationa ndio inadetermine uchumi wa sehemu husika kuna nini dodoma nambie mbali na bunge na maofisi ya serikali kuna nini kwa wanachi wa hapo dodoma?
Dom ina wakazi zaidi ya 600,000 tena wenye pesa tofauti na wakazi 1,200,000 wa Mwanza ambao robo tatu ni maskini..

Eti kuna nini,Mzee huoni uwekezaji kwenye real estates? Wanaokaa ni wenye pesa.

Kuna viwanda kibao kama cha kusafisha dhahabu,wine,mbolea,malls na vingine kibao..Services industry ni kubwa Sana Dom..

The same to Mbeya,with population around 600k is doing well kuliko Mwanza yenu.
 
Mbona hayo magorofa yanahesabika halafu katikat ya mji kuna vinyumba vya udongo kama vyote, hayo maslum katikati ya jiji nayo ni sifa ya jiji
Kama yanahesabika tupe idadi yake basi..Hilo ndio Jiji sasa , skyline nzuri, mazingira mazuri na barabara nzuri sio uchafu wa Mwanza..

Huwezi Kuta nalinganisha Mbeya na Arusha Wala Dom ,,hayo ni majiji yenye hadhi kuliko Uchwara City ya Mwanza
 
Southern Highland uislam upo kwa mbali sana mkuu.Kwa mkoa mzima wa Njombe waislam hawafiki 1000
Acha uongo. Waislamu wapo Sana tu sema hawana hela za kujenga misikiti mikubwa.

Kama miji yenu Ina wahindi na waarabu waislamu hawawezi kukosa

Waislamu wahaya wa bukoba Wana akili Sana na ninawakubali Wana shule zao Kama istaqaam,jamia,lake view,katoro Islamic nk
Na Wana misikiti mikubwa kuliko Zanzibar
Na Wana maendeleo ingawa ni wachache sana
 
Kama yanahesabika tupe idadi yake basi..Hilo ndio Jiji sasa , skyline nzuri, mazingira mazuri na barabara nzuri sio uchafu wa Mwanza..

Huwezi Kuta nalinganisha Mbeya na Arusha Wala Dom ,,hayo ni majiji yenye hadhi kuliko Uchwara City ya Mwanza
Wivu utakupeleka pabaya na chuki zako dhidi ya MWANZA ni sawa na kazi buree we endeleza chuki lakini hili jiji ndo linazidi kusonga na kuwa kitovu cha kibiashara kwa nchi za maziwa makuu na kuhaidi kuwa hakuna kama Mwanza nje ya Dar ata tukisimama kwa miaka 1000.
 
Wapi hapasongi? Ndio maana mko mkiani kwa Mbeya
 
Wapi hapasongi? Ndio maana mko mkiani kwa Mbeya
Mambo ya mwanza hayo
JamiiForums-630559213.jpg
JamiiForums-1244974038.jpg
 
Just imagine hii ni shule ya msingi ya serikali rumuli mjini bukoba

Shule ya msingi Rumuli
images%20-%202021-09-19T190723.236.jpg
images%20-%202021-09-19T190731.924.jpg
f66d8984be5088720669c223af11008b.jpg
 
Back
Top Bottom