Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Unascreenshot post yako mwenyewe


, hii ni sawa na kujitenya na kucheka mwenyewe
, siku zote nyumbu zinalipa hata kodi kandamizi na hazijui kukwepa kodi, angalia mistari myekunduUnawaumbua ndugu zako Sexer na Instanbul..View attachment 1943466
View attachment 1943496
View attachment 1943469
View attachment 1943472
View attachment 1943475
View attachment 1943483View attachment 1943479
View attachment 1943497
View attachment 1943476
View attachment 1943486
View attachment 1943495
View attachment 1943489
View attachment 1943491
View attachment 1943477
Sijaunganisha Ilemela inajitetegemea kama ilivyo Mbeya District CouncilUnawaumbua ndugu zako Sexer na Instanbul..
Kwamba lazima kuunganisha Halmashauri 2 ndio Mwanza iweze kushindana na Mbeya? 😄😁
Uchwara City 🏃🏃
Kwa hiyo hizo ndio barabarani za City uchwara? 😄😄😄😌😌😌😌Barabara hujaziona au unataka barabara ambazo chini yanapita magari afu juu wanapita watu na hata Rais anapita Kama hizi, onyesha kama kwenye likijiji likuu mnazo
Pia bado tunasubiri genge la nyanya, parking ya kupandia mabasi, na CBD ya likijiji likuuView attachment 1943414View attachment 1943416View attachment 1943419View attachment 1943420View attachment 1943421View attachment 1943425
Kwa hiyo umekubali kwamba Mbeya imesaga City uchwara kwa mapato,huu ndio uungwana sasa 😃😃Sijaunganisha Ilemela inajitetegemea kama ilivyo Mbeya District Council
Mbeya CC na Mwanza CC zitaanza kuifukuza Ilemela MCSijaunganisha Ilemela inajitetegemea kama ilivyo Mbeya District Council
Mbeya CC na Mwanza CC zitaanza kuifukuza Ilemela MC
Hizo rekodi Mwanza na Ilemela CC ziliathiriwa kwa kufungwa viwanda vya samaki. subiria rekodi zijazo bossKwa hiyo umekubali kwamba Mbeya imesaga City uchwara kwa mapato,huu ndio uungwana sasa 😃😃
Pongezi zimuendee Dhalimu mzilankende 🏃🏃🏃🏃Hizo rekodi Mwanza na Ilemela CC ziliathiriwa kwa kufungwa viwanda vya samaki. subiria rekodi zijazo boss
Mwanza ipo vizuri sanaPongezi zimuendee Dhalimu mzilankende 🏃🏃🏃🏃
Ipo vizuri kwa kufungwa viwanda? Wewe kweli ni MzilankendeMwanza ipo vizuri sana
Ufungaji wa viwanda inategemea na policy za nchi kwa wakati huo. Wanaweza funga viwanda ili kutoa nafasi samaki kuzaliana au kuboresha mazingira ya biashara ili kuleta tija, Kumbuka kufungwa kwa mgodi wa Buzwagi na makinikiaIpo vizuri kwa kufungwa viwanda? Wewe kweli ni Mzilankende
Nilikwambia Waziri amewaruhusu watu kutafuna pesa, unadhani nani ataacha fursa ya posho? Per diem 100,000 kwa wiki 2 ni sh. ngapi?
Soon yanayofanyika Kahama yatafanyika Njombe, ila sio kwa mafanikio kama Kahama 😀😀😀😀Nilikwambia Waziri amewaruhusu watu kutafuna pesa, unadhani nani ataacha fursa ya posho? Per diem 100,000 kwa wiki 2 ni sh. ngapi?
Wanaenda kujifunza ili walibadili likijiji likuuubwa kuwa mjiNilikwambia Waziri amewaruhusu watu kutafuna pesa, unadhani nani ataacha fursa ya posho? Per diem 100,000 kwa wiki 2 ni sh. ngapi?
Ilemela inatandika vibaya mno likijiji likuu, stand ya Basi nyamhongolo ndani ya ilemela, kumbuka ile ya Nyegezi ni ya nyamagana, ndo kuanzia leo uelewe jiji la Mwanza linastand mbili za kisasa wakati kusini nzima wakiongozwa na likijiji hakuna hata mojaUnawaumbua ndugu zako Sexer na Instanbul..
Kwamba lazima kuunganisha Halmashauri 2 ndio Mwanza iweze kushindana na Mbeya?
Uchwara City![]()
Nitaka radhi kwanza Niko kwenye 30's mimi sio Mzee..
Migodi mingapi,si uko mmja,sasa mgodi 1 ndio nini kwenye
Wilaya ya kahama ni mkoa wa madini wilaya ya kahama ni mkoa wa TRA pia kuna migodi mikubwa miwili bulyankulu na buzwagi migodi hio pesa inayoenda serikalini ni nyingi toka mwaka 2000 hata pato la mkoa mzima nusu linatoka kahama wachimbaji wadogo kila siku wanauzia serikali zaidi ya kilo 8 za dhahabu hivyo barabara ni kazi ya serikali sio mchango wa wananchi kama ujenzi wa madarasa hivyo kahama kukosa barabara ilaumiwe serikali na wewe ipongeze maana imekujali na kahama yenye kuchangia toka mwaka 2000 ikaachwa hii ndio hasara ya kutokuwa makao makuu ya mkoa hata hizo lami mmepata kwa kigezo makao makuu ya mkoa ndio maana mwendazake akaliona tatizo la kahama miundo mbinu akapandisha hadhi ili tupate hio miundo mbinu ni suala la muda tu tunakuwa sawa serikali itajenga hizo barabara uzuri pamoja na mwendazake kuondoka serikali ya samia haijaisahau kahama na soon mikoa mipya miwili itatangazwa chato na kahamaMzee mwenzangu hiyo migodi inaingiza shilingi ngapi kwa mwaka?