Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Kuhusu dhahabu niseme hivi; ni kweli dhahabu ipo maeneo mengi nchini kwetu, sio Chunya tu, hata Sekene ya Singida kuna dhahabu, baadhi ya maeneo ya Morogoro kuna dhahabu, Geita, Kahama nk but the thing is, inategemea na grade, dhahabu ya Chunya grade yake ikoje? Is too low kulinganisha na kanda ya Ziwa, this is why kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa mingi kulinganisha na sehemu zingine nchini, wachimbaji wadogo ndio usiseme wengi sana huko kulinganisha na sehemu zingine za Tanzania, nikwambie tu, hata Lushoto ya Tanga pia kuna dhahabu, but ni kwa kiwango gani??? Halafu pia Kahama haiko mpakani kama ilivyo Tunduma though nafikiri moja kati ya sababu ilisababisha mkoa mpya wa Mbozi sijui nini ile iliojitenga na Mbeya, sababu mojawapo ilikua ni ukuaji wa kasi wa Tunduma kibiashara nk, why is because ya biashara ya Tanzania na ZambiaKwa hiyo hivyo ndivyo havipo kwingine? Dhahabu imejaa Chunya na Hamza ni shahidi.
Mji wa Tunduma unafanya uko karibu na Nchi za Zambia,DRC na Malawi na unafanya biashara Sana za mipakani kuliko Kahama.
Sema hivi Kahama imechukua nafasi ya Miji kama Bukoba,Shinyanga,Musoma na Geita ambayo ilistahili ndio iwe Miji mikubwa kutokana na hadhi zao lakini ndio hivyo wachuuzi wamewazidi.
Sisi Kusini hakuna Mji unauzidi Mji mkuu wa Mkoa ,haupo labda Makambako ije kuizidi Njombe siku za baadae but sioni hicho kikitokea kwa sababu Njombe ina nguvu ya uchumi kuliko Makambako.

