instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Maskini wivu unakusumbua. Bukoba vijijini panatia hasira ukitazama vijiji vyakoToa uchafu hapa,leta barabarani za fishing village town ya Bukoba


Vijijini kagera
Maskini wivu unakusumbua. Bukoba vijijini panatia hasira ukitazama vijiji vyakoToa uchafu hapa,leta barabarani za fishing village town ya Bukoba


Mji mbaya eeh,mimi Niko live site sichukui picha za make up afu saizi ni kiangazi.Huo mji wako ni mbaya kwa kweli
Tazama mandhari ya mji wa bukobaView attachment 1931512View attachment 1931514View attachment 1931515View attachment 1931516View attachment 1931517View attachment 1931518
Tuna round about kali zaidi ya hii iliyopauka.Rwamishenye bukoba townView attachment 1931521
Nadhani madini hasa dhahabu na ukaribu wa nchi za Rwanda, Burundi and CongoKahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Eti kiangazi.Mji mbaya eeh,mimi Niko live site sichukui picha za make up afu saizi ni kiangazi.
Kana kwamba haitoshi, Sumbawanga imepiga Bukoba hands down with all necessary infrastructures.
Picha za make up ziko hivi
View attachment 1931530
View attachment 1931531
View attachment 1931532
View attachment 1931533
View attachment 1931534
View attachment 1931535
View attachment 1931536
View attachment 1931537
View attachment 1931538
View attachment 1931539
View attachment 1931540
View attachment 1931541
View attachment 1931542
View attachment 1931543
View attachment 1931544
View attachment 1931545
View attachment 1931546
View attachment 1931547
View attachment 1931548
View attachment 1931549
View attachment 1931550
View attachment 1931551
Sasa shida iko wapi kukiwa kijani mwaka mzima? Hiyo zone si iko jirani na Equator au? Sasa cha kushangaza nini? Mazingira ya hivyo yako Tukuyu na Njombe kwa Kusini ni special case.Eti kiangazi.
Hiv unajua bukoba ni kijani mwaka mzima halafu unalinganisha vimji vilivyokauka
Kibeta anyama hills bukoba look at the greenshView attachment 1931591
Kwa hiyo hivyo ndivyo havipo kwingine? Dhahabu imejaa Chunya na Hamza ni shahidi.Nadhani madini hasa dhahabu na ukaribu wa nchi za Rwanda, Burundi and Congo
Unahangaika sana mkuu, Alafu sisi tunakupa radha zote mjini na vijijini alaf wewe umekomaa na tupicha twako tuletuleMji mbaya eeh,mimi Niko live site sichukui picha za make up afu saizi ni kiangazi.
Kana kwamba haitoshi, Sumbawanga imepiga Bukoba hands down with all necessary infrastructures.
Picha za make up ziko hivi
View attachment 1931530
View attachment 1931531
View attachment 1931532
View attachment 1931533
View attachment 1931534
View attachment 1931535
View attachment 1931536
View attachment 1931537
View attachment 1931538
View attachment 1931539
View attachment 1931540
View attachment 1931541
View attachment 1931542
View attachment 1931543
View attachment 1931544
View attachment 1931545
View attachment 1931546
View attachment 1931547
View attachment 1931548
View attachment 1931549
View attachment 1931550
View attachment 1931551
Tatizo la mshikaji ndilo hilo anarudia picha hiyo hiyo tu na picha zote naona ni barabara ya sumbawanga mara kagorofa kamoja akapige picha pande ishirini then aanze kutuma katika view mbalimbali mara mafilling station huyu jamaa ni maniac sio bure.Unahangaika sana mkuu, Alafu sisi tunakupa radha zote mjini na vijijini alaf wewe umekomaa na tupicha twako tuletule
Huyu jamaa atakuwa mtu mfupi. Mbishi kwa kujitutumuaTatizo la mshikaji ndilo hilo anarudia picha hiyo hiyo tu na picha zote naona ni barabara ya sumbawanga mara kagorofa kamoja akapige picha pande ishirini then aanze kutuma katika view mbalimbali mara mafilling station huyu jamaa ni maniac sio bure.


Bukoba munispalityView attachment 1931737View attachment 1931733View attachment 1931736View attachment 1931735View attachment 1931734Kwa hiyo hivyo ndivyo havipo kwingine? Dhahabu imejaa Chunya na Hamza ni shahidi.
Mji wa Tunduma unafanya uko karibu na Nchi za Zambia,DRC na Malawi na unafanya biashara Sana za mipakani kuliko Kahama.
Sema hivi Kahama imechukua nafasi ya Miji kama Bukoba,Shinyanga,Musoma na Geita ambayo ilistahili ndio iwe Miji mikubwa kutokana na hadhi zao lakini ndio hivyo wachuuzi wamewazidi.
Sisi Kusini hakuna Mji unauzidi Mji mkuu wa Mkoa ,haupo labda Makambako ije kuizidi Njombe siku za baadae but sioni hicho kikitokea kwa sababu Njombe ina nguvu ya uchumi kuliko Makambako.
Bukoba imechakakaza kusini nzima, nilikuwa nafatilia mtanange bila kucoment naona wanarusha vipicha vya marudio sijui mara twa sumbawanga, mara njombe, sijui iringa, adi mbeya wameweka kushindana na bukoba, hakika nyie hakina nshomile waitu mko juu kama mawingu ya mbinguni achana na miji ya ajabu ajabu iliyoendekeza ushirikina kwenye kutafuta mali🤝🤝🤝.Huyu jamaa atakuwa mtu mfupi. Mbishi kwa kujitutumua![]()
Bukoba ni mji wa vilima vilima.Kwa hiyo hivyo ndivyo havipo kwingine? Dhahabu imejaa Chunya na Hamza ni shahidi.
Mji wa Tunduma unafanya uko karibu na Nchi za Zambia,DRC na Malawi na unafanya biashara Sana za mipakani kuliko Kahama.
Sema hivi Kahama imechukua nafasi ya Miji kama Bukoba,Shinyanga,Musoma na Geita ambayo ilistahili ndio iwe Miji mikubwa kutokana na hadhi zao lakini ndio hivyo wachuuzi wamewazidi.
Sisi Kusini hakuna Mji unauzidi Mji mkuu wa Mkoa ,haupo labda Makambako ije kuizidi Njombe siku za baadae but sioni hicho kikitokea kwa sababu Njombe ina nguvu ya uchumi kuliko Makambako.
hadi makaburi we noma aisee🙂🙂🙂🙂
Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..Bukoba imechakakaza kusini nzima, nilikuwa nafatilia mtanange bila kucoment naona wanarusha vipicha vya marudio sijui mara twa sumbawanga, mara njombe, sijui iringa, adi mbeya wameweka kushindana na bukoba, hakika nyie hakina nshomile waitu mko juu kama mawingu ya mbinguni achana na miji ya ajabu ajabu iliyoendekeza ushirikina kwenye kutafuta mali🤝🤝🤝.
Kwan Kuna shida gan.hadi makaburi we noma aisee🙂🙂🙂🙂
Labda uilinganishe Katoro na Njombe nasio KahamaKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..
Kama Mbeya City ilichakaza Mwanza kwa Vyuo vikuu mpaka hapo unaweza ona huko poverty zone ni hopeless kabisa.


fahari gan mnaonyesha hapa zaidi ya mavumbini huko.Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..
Kama Mbeya City ilichakaza Mwanza kwa Vyuo vikuu mpaka hapo unaweza ona huko poverty zone ni hopeless kabisa.


mnateseka sana, mjini mmejaza slums na vijijini mmejaza tembe yaani ni shida tupu njoo mjifunze huku