Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ndio hivyo ,kadanganye wasiojua Mwanza sio mimi,Karibu Tanroads tuko site tunajenga nchi na mama,Kazi iendeleeKumbe ulikuwa misungwi![]()
Ndio hivyo ,kadanganye wasiojua Mwanza sio mimi,Karibu Tanroads tuko site tunajenga nchi na mama,Kazi iendeleeKumbe ulikuwa misungwi![]()
Kwa jiji la mwanza na misungwi ni sawa?Sasa mapank ulitakaje? Nilikuwa nawatoa ujinga ndugu zako huko kwa hiyo utanidanganya nini wewe Kuhusu Mwanza?
Kwa hiyo hutaki au? Nimeweka hapo taarifa umeona top 10 ya GDP Kagera imo? Au mpaka nikupangie in ascending order huwezi kuchambua Takwimu?Nabishana na popoma mwenye udumavu wa akili .hebu Soma taarifa yako vzr.
Hiyo ndo GDP ya mkoa?!!!
Eti civil engineer
Una matatizo makubwa sana
Hebu enjoy kidogo jiji la pili kwa ukubwa na maendeleo nchiniView attachment 1934601Ndio hivyo ,kadanganye wasiojua Mwanza sio mimi,Karibu Tanroads tuko site tunajenga nchi na mama,Kazi iendelee
Karudi usome vzr maana ya GDP na GDP per CapitaKwa hiyo hutaki au? Nimeweka hapo taarifa umeona top 10 ya GDP Kagera imo? Au mpaka nikupangie in ascending order huwezi kuchambua Takwimu?
Huna akili unachoweza ni kubishana.
Nadhani reasoning yako ni ndogo,ukiwa unaishi Morogoro inakufanya usiwese kufahamu Dar au Dodoma?Kwa jiji la mwanza na misungwi ni sawa?
We Baki na takwimu zakoNadhani reasoning yako ni ndogo,ukiwa unaishi Morogoro inakufanya usiwese kufahamu Dar au Dodoma?
Kuna watu wanatembea kuzidi wahandisi, wafanyabiashara na madereva?
Kweli wewe ni mburula,nasema hivi both GDP per Capita na GDP as a whole , Takwimu zote Kagera inasugua matako,kama huwezi kuchambua hayo ni matatizo yako binafsi.Karudi usome vzr maana ya GDP na GDP per Capita
Haibadili ukweli kwamba ni Jiji la hovyo na linaongoza kwa umaskini.Jiji uchwara la kifala..😀😀We Baki na takwimu zako
But mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,watu na maendeleo nchini TanzaniaView attachment 1934603
We jamaa utakuwa mfupi,mweusi halafu popoma mwenye udumavuKweli wewe ni mburula,nasema hivi both GDP per Capita na GDP as a whole , Takwimu zote Kagera inasugua matako,kama huwezi kuchambua hayo ni matatizo yako binafsi.


My foot eti kwa maendeleo 😝😝😝,,naomba nionyeshe dual carriage hata moja hapo kwenye Jiji la maendeleoHebu enjoy kidogo jiji la pili kwa ukubwa na maendeleo nchiniView attachment 1934601View attachment 1934602
Onyesha dual carriage road hapo Jiji uchwara la Mwanza,hayo mengine hayatasaidia kubadili umaskini wa huko kwenu..We jamaa utakuwa mfupi,mweusi halafu popoma mwenye udumavu![]()
Akili huna. Kwa hiyo dual carriage ndo maendeleo pekee unayoona ya maana SanaOnyesha dual carriage road hapo Jiji uchwara la Mwanza,hayo mengine hayatasaidia kubadili umaskini wa huko kwenu..


😝😝😀😀😀 Kumbe nini? Taja Jiji lolote unalolijua wewe halina miundombinu ya kisasa?Akili huna. Kwa hiyo dual carriage ndo maendeleo pekee unayoona ya maana Sana
Hiv huko kusini Kuna hata passenger bridge hata moja
Mwanza ziko mbili Tena kubwa
Mtu mfupi wa njombeKumbe nini? Taja Jiji lolote unalolijua wewe halina miundombinu ya kisasa?
Kumbe sio maendeleo,haya tuoneshe maendeleo.. Yaani nimecheka hadi kupaliwa..Arusha,Dar,Dom hadi Swax kote kuna barabara zenye hadhi isipokuwa City uchwara ya Mwanza.
Nadhani sasa umeeelewa ila unajilaza tuu..kubali hicho ni kimji uchwara na cha kishamba Sana..
Nimeacha kubisha na popoma.Siku Uchwara City ya Mwanza ikifika hapa mnitag..Sweet Mbeya City
View attachment 1934630
View attachment 1934631
View attachment 1934632
View attachment 1934633
View attachment 1934634
View attachment 1934635
View attachment 1934636
View attachment 1934637
View attachment 1934638