Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Mwanza kijiografia Mwanza ni mji wa kimkakati, kwenye nchi za eneo la maziwa makuu. Ndio juhudi kubwa za ku link Mwanza zinaendelea, kwa upande wa Anga flights za Rwandair kwenda Uk, kituo baada ya Kigali itakuwa Mwanza, SGR ndio hiyo kick off tayari, bado Daraja la Busisi (TZS700b),
Usafiri wa maji ujenzi wa meli mpya kubwa kuliko zote za abiria na mizigo kwenye eneo EA great lakes unaendelea..
Usafiri wa maji ujenzi wa meli mpya kubwa kuliko zote za abiria na mizigo kwenye eneo EA great lakes unaendelea..