Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Sitaki hadithi nataka data official na hizo officials zilizoko kwenye website ya Tamisemi ndio nilikuwekea hapo.Kwa kuongezea umy mwalimu alisema kahama MC wamekusanya 9bilion point 6 fuatilia hotuba yake akiwahutubia wakuu wa mikoa hivyo kwa mapato njombe watasubiri sana kwa kahama nisawa na fisi anaesubiri mkono wa binadamu anapotembea utanyofoka aokote
Kama ni taarifa za mdomoni kama za Ummy basi hata Njombe tulipata mapato zaidi kwa sababu malengo tuliyowekewa na Serikalini (2020/2021) yalikuwa ni 6.7bln tukavuka malengo kwa kukusanya asilimia 131% yaani ukifanya hesabu Unapata 8.8 bln..
Kahama malengo yalikuwa 6.88 lakini wamekusanya asilimia 109 % ya malengo ambayo haivuki 7.98 sasa hizo za Ummy zimetoka wapi ikiwa Wizara yake inasema hiki yeye anasema kingine?
Kwa hiyo tutaamini taarifa rasmi za kimaandishi zilizoko kwenye tovuti yao sio maneno matupu..👇

